Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,782
- 239,459
Ni vema tukakumbushana kwamba siku kama ya leo miaka 4 iliyopita , Ndugu Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alitangazwa na serikali ya Marekani kwamba anadhulumu haki za watu kuishi , na kwamba kwa tuhuma hiyo amepigwa marufuku kukanyaga Nchini Marekani na Nchi washirika wa Marekani .
Kwa tafsiri rahisi , mtu anayedhulumu haki ya watu kuishi , maana yake ni MTU ANAYEWAUA WATU HAO
Cha kushangaza ni ujasiri wa CCM kumteua mtu wa namna hii kuwa kiongozi wa kitaifa wa chama hicho , Yaani Chama cha Nyerere , Warioba , Kawawa na Msekwa leo kinateua mtu mwenye tuhuma nzito kama hizi kuwa kiongozi wake ! kwamba chama hiki kimelenga jambo gani hasa na Je hakuna Wanachama wengine waadilifu wa kupewa cheo hicho au ni dharau kwa Wananchi na kwa Serikali ya Marekani ?