Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Apr 7, 2020 15,610 45,738 Sep 27, 2024 #1 Ukiwasha simu tu mara mimeseji ya matangazo ya kamari hiyo. Hongera umeshinda sh. kadhaa, mara mizunguko ya kasino huku hata huwafahamu. Au hawa wa mikopo mtandaoni wamehamishia majeshi kwenye kamari? Halafu wasanii wa vichekesho ndio waenezaji wa upuuzi wowote hapa nchini. Soma Pia: Ushauri: Kijana kama huijui kamari usiisogelee kabisa, kamari ni hatari zaidi ya hatari ya kuchezea nyoka
Ukiwasha simu tu mara mimeseji ya matangazo ya kamari hiyo. Hongera umeshinda sh. kadhaa, mara mizunguko ya kasino huku hata huwafahamu. Au hawa wa mikopo mtandaoni wamehamishia majeshi kwenye kamari? Halafu wasanii wa vichekesho ndio waenezaji wa upuuzi wowote hapa nchini. Soma Pia: Ushauri: Kijana kama huijui kamari usiisogelee kabisa, kamari ni hatari zaidi ya hatari ya kuchezea nyoka
machiaveli JF-Expert Member Jun 4, 2016 2,254 5,140 Sep 27, 2024 #3 Maisha ya mtanzania zama hizi ni kubahatisha tu nchi ya mama 🕛💯
Introv JF-Expert Member Sep 6, 2022 6,980 11,207 Sep 27, 2024 #4 Fanya Yako mzee kamari haikuhusu hivyo ipotezee
Blender JF-Expert Member Mar 5, 2022 4,911 8,088 Sep 27, 2024 #5 Tigo hao, kila siku asubuhi wananitumia SMS za kubeti. Hivi haoni huu ni usumbufu kwa wateja , wasio cheza kamari
Tigo hao, kila siku asubuhi wananitumia SMS za kubeti. Hivi haoni huu ni usumbufu kwa wateja , wasio cheza kamari
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Apr 7, 2020 15,610 45,738 Sep 27, 2024 Thread starter #6 Blender said: Tigo hao, kila siku asubuhi wananitumia SMS za kubeti. Hivi haoni huu ni usumbufu kwa wateja , wasio cheza kamari Click to expand... Kamari everywhere
Blender said: Tigo hao, kila siku asubuhi wananitumia SMS za kubeti. Hivi haoni huu ni usumbufu kwa wateja , wasio cheza kamari Click to expand... Kamari everywhere