Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,609
- 45,735
Ukiwasha simu tu mara mimeseji ya matangazo ya kamari hiyo. Hongera umeshinda sh. kadhaa, mara mizunguko ya kasino huku hata huwafahamu. Au hawa wa mikopo mtandaoni wamehamishia majeshi kwenye kamari?
Halafu wasanii wa vichekesho ndio waenezaji wa upuuzi wowote hapa nchini.
Soma Pia: Ushauri: Kijana kama huijui kamari usiisogelee kabisa, kamari ni hatari zaidi ya hatari ya kuchezea nyoka
Halafu wasanii wa vichekesho ndio waenezaji wa upuuzi wowote hapa nchini.
Soma Pia: Ushauri: Kijana kama huijui kamari usiisogelee kabisa, kamari ni hatari zaidi ya hatari ya kuchezea nyoka