Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,042
- 8,680
Kwenye haya maisha kuna watu tumezaliwa na gundu kiasi kwamba toka unazaliwa mpaka unakufa maisha yako ni Magumu tu hata kama Unapambana vipi kujikwamua kwenye huo Ugumu.
Inaumiza unaishi kwenye Jamii ambayo ukipata shida ya 20k hakuna mtu ambae anaweza kukukopesha kwa sababu anahisi hauwezi kumlipa.
Wale wazee mnaowaona huko mabarabarani wakiangaika kuomba ili wapate na kuendelea kuishi au wanafanya kazi ambazo hawastahili kuzifanya ili wapate pesa ya kujikimu, msidhani kua kwenye ujana wao hawakupambana, walipambana sana ila hawakua na bahati.
Siku ya tatu nina shida ya 50k nimekosa mtu wa kunikopesha/kuniazima si ndugu wala marafiki
Tusiache kupambana wazee hata kama unapitia keenye magumu ya aina gani pengine unaweza kutoboa age ikiwa imeenda.
Muwe na Asubui njema kwenye mapambano na harakati za maisha, tusiache kuomba na kuwaombea wanaopitia magumu.