Imagine lita ya Bia kwa bei elekezi ni ghali kuliko lita ya petrol

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
14,069
35,410
Kuna kila sababu ya kujitafakari upya

Yaani nimeagiza balimi mbili moja ni 500cc, kwa hivyo balimi mbili ni 1000cc, ambapo balimi moja ni TZS 2000/'- yaani kwa muktadha huo 1000cc za balimi ni shilingi 4000/-, bei ambayo ni zaidi ya lita moja ya petrol

Tuna kwenda wapi jamani, ni furaha tu jamami, embu serikali ifanye kitu, lita moja ya beer ifanane na ya petrol

Nawasilisha kwa hasira
 
Milimita 1 ya bier huuzwa kwa tsh 4 huku mtaani wakati milimita moja ya peteol huuzwa chini ya tsh 3 na sent 45. Na hapo ni baada ya kupanda kwa mafuta. Ila ninyi mna bei nzuri sana ya bia. Sisi huku milimita moja ya bia tunainunua zaidi ya tsh 6 na sent 20 kwa bia ndogo wakati tukiinunua tsh 5 na sent 0 kwa bia kubwa. Petrol tunanunua kwa tsh 4 na sent 0 kwa milimita moja. Ah kumbe nachambua vitu vya kijinga!! Acha niende ziwani bhana
 
Uko makini beer ina thamani kubwa kuliko petrol
 
katika vitu ambavyo pombe inabei ndongo kushinda maji ya kunywa nchi za watu. we huku unakunywa kienikeni kidogo unajiona tajiri


 
Acha tu! Mpaka mama anaachia ngazi cha moto tutakiona!
 
😁😁😁😁😁😁kwamba wanywaji wa beer wanaweza waka handle usafir wa gari sasa
 
Igombe fisherman maamaee
 
Unajifuel ili ufuel gari
 
Ni milimita au mililita?
 
Milimita au sio nikajua mililita.

Naona ushaamka tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…