Nelly boy Member Dec 8, 2015 25 2 Jan 3, 2016 #1 Vigezo awe n mrembo na mwenye umri wa miaka 18-25. Kuhusu kabila awe ni mnyamwezi, mngoni,mnyakyusa,mchaga na muhaya.
Vigezo awe n mrembo na mwenye umri wa miaka 18-25. Kuhusu kabila awe ni mnyamwezi, mngoni,mnyakyusa,mchaga na muhaya.
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,411 18,734 Jan 3, 2016 #3 Sawa. Jamani wadada kuna nafasi ya ajira hapa....
brenda18 JF-Expert Member Sep 17, 2013 5,687 5,275 Jan 3, 2016 #4 Mimi kabila langu lipo hapo,swali tu rahisi una hela...?pesa pesa sio za mawazo....
G Ground 00 JF-Expert Member May 18, 2014 2,112 1,585 Jan 21, 2016 #5 brenda18 said: Mimi kabila langu lipo hapo,swali tu rahisi una hela...?pesa pesa sio za mawazo.... Click to expand... Ha ha haaa
brenda18 said: Mimi kabila langu lipo hapo,swali tu rahisi una hela...?pesa pesa sio za mawazo.... Click to expand... Ha ha haaa
E elementary Member Jan 19, 2012 36 3 Jan 22, 2016 #6 brenda18 said: Mimi kabila langu lipo hapo,swali tu rahisi una hela...?pesa pesa sio za mawazo.... Click to expand... Angalau umekuwa open, buddy, nasubir majibu kwa muhitaji niandae mchango wa harus.
brenda18 said: Mimi kabila langu lipo hapo,swali tu rahisi una hela...?pesa pesa sio za mawazo.... Click to expand... Angalau umekuwa open, buddy, nasubir majibu kwa muhitaji niandae mchango wa harus.
Nelly boy Member Dec 8, 2015 25 2 Jan 25, 2016 Thread starter #7 data said: Shilole anapatikana hapa. Atakufaa?? Click to expand... Hahah
Nelly boy Member Dec 8, 2015 25 2 Jan 25, 2016 Thread starter #8 brenda18 said: Mimi kabila langu lipo hapo,swali tu rahisi una hela...?pesa pesa sio za mawazo.... Click to expand... Pesa??? Kwan utakuwa umekuja kufanya biashara.!!!
brenda18 said: Mimi kabila langu lipo hapo,swali tu rahisi una hela...?pesa pesa sio za mawazo.... Click to expand... Pesa??? Kwan utakuwa umekuja kufanya biashara.!!!