I'm a lawyer looking for Job Opportunities

Mr George Francis

JF-Expert Member
Jun 27, 2022
234
354
NAME : George Gaspar Francis
GENDER : Male
AGE: 30 Years
EDUCATION: Degree of Bachelor of Laws

INTERESTED JOB: I'm interested working in human rights & social justice related activities.

TARGET: Government and private organizations both local and international such as
1. Care International
2. Human Rights Watch
3. UNICEF
4. Amnesty International
5. Legal And Human Rights Center (LHRC) and the like.

EXPERIENCE: Educating societies freely through social media on matters relating to legal knowledge for more than 3 years.

So anyone with any job connection as I mentioned above, help me please.

CONTACTS: 0713736006

LOCATION: In Morogoro - Tanzania but I'm ready to work in any region or cities in Tanzania and any other East African Countries or other countries in Europe and America.

Best regards.
IMG_8510.jpg
 
Mungu akufanikishe, namna nzuri ya kupata kazi (unbeatable)

1. Amini utapata kazi nzuri.
2. Achana na maneno ya vijiwe.
3. Amini unaweza pata kazi bila God F.
4. Amini Mungu ndo God father wako.
5. Draft email na pdf ya vyeti.
5. Kila siku search hayo mashirika unayopendu forward application hata Kama hawa hawajatangaza kazi.
6. Tuma email 20 kwa siku, Chagua email za ma MD na sio info and secretaries!
7. Kabla ujatuma email sema Sala na soma Zaburi ya 23.
8. Weka nadhiri kwa Mungu ya shukrani ukipata kazi.
9. Usiende kwa Mwamposa wala kuamini nabii yeyote nchi hii.
10. Amini unaweza Mwenyewe kumwomba Mungu na akakutendea muujiza.
 
Mungu akufanikishe, namna nzuri ya kupata kazi (unbeatable)

1. Amini utapata kazi nzuri.
2. Achana na maneno ya vijiwe.
3. Amini unaweza pata kazi bila God F.
4. Amini Mungu ndo God father wako.
5. Draft email na pdf ya vyeti.
5. Kila siku search hayo mashirika unayopendu forward application hata Kama hawa hawajatangaza kazi.
6. Tuma email 20 kwa siku, Chagua email za ma MD na sio info and secretaries!
7. Kabla ujatuma email sema Sala na soma Zaburi ya 23.
8. Weka nadhiri kwa Mungu ya shukrani ukipata kazi.
9. Usiende kwa Mwamposa wala kuamini nabii yeyote nchi hii.
10. Amini unaweza Mwenyewe kumwomba Mungu na akakutendea muujiza.
AMEN. Nashukuru sana kwa ushauri mzuri.
 
Wewe ni handsome hutakiwi kukosa kazi kabisa kwa umri huo
Mungu akufanyie wepesi
Tembelea law firms mjini zipo nyingi omba hata kujitolea
Jiunge na rafiki zako mkiweza kufungua hata law firm yenu itapendeza
Kila la heri
 
Nakuombea upate kazi, anzia law firm kwanza,kula experience huko Nakumbuka siji kusahau kipindi Cha kutafuta ajira, japo ilinisaidia sana kufanya mamuzi ambayo naona sikukosea ,nilienda law firm mchana wa saa sita kuomba niwe najifunza pale kwao kwa sababu ndio Kwanzaa nimetoka chuoni , niliwakuta mawakili watatu wawili wa kiume na mmoja wa kike, mzee nimependeza hatari nikajitambulisha nikwambia shida yangu , aisee yule manzi akaniangalia miguni to kichwani , then akawangalia wale wenzake akanijibu hapa hatuna hiyo nafasi. Nilipoteana na nilipofka home nikajiapiza sitoomba tena kazi kwa mtu ,kama ni kazi iwe ya serikali, na kweli sijawahi kuomba Tena kazi private sector, niliamua kuingia tu shamba ingiza kiazi ardhini ,, kusanya pesa ingia postgraduate ya ualimu open universety, saiz ni ticha tu wa serikali, ila huwa nawaona hawa mawakili hapa jombe na tugari twao , kipindi kile Cha ujana nilikuwa nawaza nibebe scania home niwategeshe siku Moja bodi scania waingie humo wafe, ah nikaona dhambi ila sasa nimefanikiwa kumla yule msomi wa kike, na sijawahi mkumbusha kuwa ni mimi ni yule aliye mfanyia dharau, Kila la kheri ukipata kazi usidharau mtu au kuonyesha kibri, wewe ni binadamu tu
 
Wewe ni handsome hutakiwi kukosa kazi kabisa kwa umri huo
Mungu akufanyie wepesi
Tembelea law firms mjini zipo nyingi omba hata kujitolea
Jiunge na rafiki zako mkiweza kufungua hata law firm yenu itapendeza
Kila la heri
Ahsante sana dada. God bless you.
 
Rafiki yangu Mimi sijui kingereza Ila neno lawyer nimeliona na hapo nimejua bila shaka wewe unajua sheria

Sasa naweza kukupata vipi nataka nimfungulie jirani yangu kesi ya kunikosesha amani ya moyo na utulivu wa nafsi hasa kila nikipata mtoto mzuri lazima ninapopita karibu na nyumbani kwake lazima nimkute na amekuwa na kawaida ya kunisidikiza kwa macho mpka mlangoni Ila funga kazi ni kuwa anakuja kugonga mlango eti asalamie mgeni .

Mimi nimemkanya nimeshindwa Sasa ndugu yangu kwa kifungu kipi naweza kumshitaki huyu bwana na pia anilipe fidia nimechoka kutuatiliwa na yeye
 
In
Nakuombea upate kazi, anzia law firm kwanza. Nakumbuka siji kusahau japo ilinisaidia sana ,nilienda law firm mchana wa sita kuomba niwe najifunza pale kwao, niliwakuata mawakili watatu wawili wa kiume na mmoja wa kike, mzee nimependeza hatari nikajitambulisha nikwambia shida yangu , aisee yule manzi akaniangalia miguni to kichwani , then akawangalia wale wenzake akanijibu hapa hatuna hiyo nafasi. Nilipoteana na nilipofka home nikajiapiza sitoomba tena kazi kwa mtu , na kweli sijawahi kuomba Tena , niliamua kuingia tu shamba , kusanya pesa ingia postgraduate ya ualimu open universety, saiz ni ticha tu ila huwa nawaona hawa mawakili hapa jombe na tugari twao , kipindi kile Cha ujana nilikuwa nawaza niwategeshe siku Moja bodi ya scania waingie humo wafe, ah nikaona zambi ila sasa nimefanikiwa kumla yule msomi wa kike, na sijawahi mkumbusha kuwa ni mimi alifanyia zarau, omba mdogo wangu MUNGU akusaidie
In God we trust, mafanikio ni haki yetu. Pole kwa changamoto na hongera kwa hatua nzuri uliyopiga sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom