mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,706
Wadau nadhani ni wakati muafaka wa TFF na Bodi ya Ligi kubadilika kiutendaji.
TFF na Bodi ya Ligi wamekuwa na kawaida ya kupanga ratiba kabla ya CAF kutoa ratiba yake hali ambayo inapelekea TFF na Bodi ya Ligi kubadilisha ratiba kwa vilabu vinavyoshiriki Mashindano ya CAF na kusababisha mechi za viporo kwa klabu hizo
Ushahidi ni Mechi za Klabu ya Simba za ligi liyopita. Ushauri kwa TFF na Bodi ya Ligi,ni vema wakapanga ratiba ya ligi kuu mara baada ya CAF kutoa ratiba yake na ukizingatia ratiba ya CAF ni ya mwaka mzima.
Kufanya hivyo kutasaidia TFF na Bodi ya Ligi kupanga ratiba bila kuingiliana na Mechi za CAF kwa vilabu vinavyoshiriki na kusababisha viporo.