johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,225
- 168,790
Ikumbukwe Kamati ya Chama ya Marais Wastaafu iliundwa na Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete
Baada ya vifo vya Mkapa na Mwinyi amebakia Rais Mstaafu Mmoja tu Mzee Kikwete na Kamati ni Watu siyo Mtu
Tuzidi kuiombea CCM inapopita kwenye bonde la uvuli wa Naniliu
Nawatakieni Sabato Njema 😄