Pre GE2025 Ilala tunasimama na Rais Samia. Njia nyeupe kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

iamwangdamin

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
858
1,796
Wilaya ya Ilala na jimbo zima la Ilala tutasimama na mama yetu kipenzi Dr. Samia Hassan Suluhu , wana Ilala tulimpokea katibu Mwenezi taifa Ndg. CPA Amos Makala wilayani Ilala , alisindikizwa na Viongozi wa wilaya na Mkoa.

Mkuu wa mkoa Albert Chalamila , Mhe. Upendo Peneza , Mzee wetu Abbas Mtemvu , Mkuu wa wilaya ya Ilala na mwenezi Ally Bananga . Mambo ni moto Ilala , Mama Samia hana mpinzani kwani tunapita nae 2025 .

Eng. Adam Magesa Ekingo
Mjumbe KIVUKONI CCM
+255686525185
iamwangdamin

IMG-20240711-WA0080.jpg
IMG-20240711-WA0079.jpg
IMG-20240711-WA0059.jpg
IMG-20240711-WA0065.jpg
IMG-20240711-WA0042.jpg
IMG-20240711-WA0077.jpg
IMG-20240711-WA0078.jpg
IMG-20240711-WA0092.jpg
IMG-20240711-WA0090.jpg
IMG-20240711-WA0085.jpg
IMG-20240711-WA0083.jpg
IMG-20240711-WA0082.jpg
IMG-20240711-WA0081.jpg
 
Nilijua umesahau namba ya simu, kumbe upo makini.

Lakini kwa ushauri tu. Ukiwa mtu wa kujipendekeza hivi ni ngumu sana kupata teuzi. Ndio maana unaona Wapinzani wanavutwa wanavutwa wanalamba teuzi wewe unajikuta unazeekea kwenye vibaraza vya Lumumba.

NO HARD FEELINGS MTU WANGU WA NGUVU.
 
Wilaya ya Ilala na jimbo zima la Ilala tutasimama na mama yetu kipenzi Dr. Samia Hassan Suluhu , wana Ilala tulimpokea katibu Mwenezi taifa Ndg. CPA Amos Makala wilayani Ilala , alisindikizwa na Viongozi wa wilaya na Mkoa . Mkuu wa mkoa Albert Chalamila , Mhe. Upendo Peneza , Mzee wetu Abbas Mtemvu , Mkuu wa wilaya ya Ilala na mwenezi Ally Bananga . Mambo ni moto Ilala , Mama Samia hana mpinzani kwani tunapita nae 2025 .

Eng. Adam Magesa Ekingo
Mjumbe KIVUKONI CCM
+255686525185
iamwangdamin
well done comrade...

Kidumu Chama Cha mapinduzi 💪👊
 
Hahitaji kura maana tume ya uchaguzi ni yake, anaiagiza tu imtangaze kwa kura ngapi, na wabunge wa ccm na madiwani anatoa tu idadi aitakayo. Kama umehongwa ili kuja kusaka wapiga kura, jua watu wanaojitambua hawana muda wa kushiriki huu uhuni utwao uchaguzi.
 
achaga upotoshaji gentleman,

tume huru ya uchaguzi ni mali ya wananchi wote, na inaundwa kwa mujibu wa katiba ya Tanzania 🐒

haiundwi au iko pale ili ikufurahishe wew 🤣
 
achaga upotoshaji gentleman,

tume huru ya uchaguzi ni mali ya wananchi wote, na inaundwa kwa mujibu wa katiba ya Tanzania 🐒

haiundwi au iko pale ili ikufurahishe wew 🤣
Narudia tena, mazombie ndio watajitokeza kushiriki kwenye uchaguzi ambao mwenyekiti wa ccm ameshaamua nani atangazwe mshindi bila kujali box la kura linasema nini.
 
Alafu msivyogo na aibu CCM mnaenda Kwa maskini wenye nyumba km hz ndio mtaji wenu wa kura upo uko Kwa kuwaghai na kanga,t-shirt na kofia ...🤭
 
Attachments

  • FB_IMG_1715771188553.jpg
    FB_IMG_1715771188553.jpg
    55.3 KB · Views: 2
Narudia tena, mazombie ndio watajitokeza kushiriki kwenye uchaguzi ambao mwenyekiti wa ccm ameshaamua nani atangazwe mshindi bila kujali box la kura linasema nini.
wewe wadhihaki na kuwaita waTanzania majina yote mabaya uwezavyo, wanakuona, wanakuskia na wanawajua vizuri viongozi na watu wote wa mihemko na matusi mnavyowadharau.....

wamejipanga vizuri, wanawasubiri kwenye sanduku la kura, wawanyooshe ili muyaite hayo majina mabaya kwa lugha zenu zote vizuri 🤣

watawanyoosha,
na mwisho wa siku wataamua kadiri ya utashi wao na kumchagua diwani mbunge na Rais mwenye sifa, mipango na nia ya kuwaletea wanainchi Maendeleo 🐒
 
wewe wadhihaki na kuwaita waTanzania majina yote mabaya uwezavyo, wanakuona, wanakuskia na wanawajua vizuri watu wa mihemko na matusi mnavyowadharau.....

wamejipanga vizuri, wanawasubiri kwenye sanduku la kura, wawanyooshe ili muyaite hayo majina mabaya kwa lugha zenu zote vizuri 🤣

watawanyoosha,
na mwisho wa siku wataamua kadiri ya utashi wao na kumchagua diwani mbunge na Rais mwenye sifa, mipango na nia ya kuwaletea wanainchi Maendeleo 🐒
Box gani la kura? Hapa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Mimi sifagilii huo uchaguzi wa kihayawani, sasa ni wapi nitasubiri kura za yoyote?
 
Narudia tena, mazombie ndio watajitokeza kushiriki kwenye uchaguzi ambao mwenyekiti wa ccm ameshaamua nani atangazwe mshindi bila kujali box la kura linasema nini.
Uchaguzi siku zote umekuwa ni wa uhuru na haki. CCM MBELE KWA MBELE. 2025 TUNAPITA NA MAMA SAMIA
 
Box gani la kura? Hapa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Mimi sifagilii huo uchaguzi wa kihayawani, sasa ni wapi nitasubiri kura za yoyote?
Hakikisha unapata kadi yako ya kielectronic ya CHAMA CHA MAPINDUZI , KURA yako moja ya CCM ni mhimu comrade
 
Back
Top Bottom