Au yadhibitiweMapenzi yafutwe......
Hapana yafutwe kabisa, yanatuvuruga tu....mtu unakuta umetulia zako kama huyu mleta mada, mapenzi yanakuja kukukera.Au yadhibitiwe
π π π πYaende veta πππ
ukifika bia ya tano kiingereza kikianza nitag tuanze kichati kwa English!.View attachment 3272889
Ndio nimeanza mkuuππ
Rudi nyumbani mkuu naona leo mapema tuu ushalewaIts crazy to think kwamba mwanaume anapoingia katika mahusiano na mwanamke, mwanaume yeye anataaka amtreat huyo mwanamke kama "alivyo mwanamke" ila mwanamke yeye anataka aku-treat same way ukike wake ulivyo na jinsi marafiki zake wa kike walivyo.
..swali la "una feel vp" ni wakati gani? labda wakati wa show, other wise ni irrelevantππ
Its crazy to think kwamba mwanaume anapoingia katika mahusiano na mwanamke, mwanaume yeye anataaka amtreat huyo mwanamke kama "alivyo mwanamke" ila mwanamke yeye anataka aku-treat same way ukike wake ulivyo na jinsi marafiki zake wa kike walivyo.
HAKI vile tenaa ππMapenzi yafutwe......