Ila wanawake, anakuuliza una feel vp, ukianza kuongea kumuelezea, anakupotezea kama hakujui halafu ukikaa kimya anakasirika kwa nini haumjibu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
4,968
15,398
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Its crazy to think kwamba mwanaume anapoingia katika mahusiano na mwanamke, mwanaume yeye anataaka amtreat huyo mwanamke kama "alivyo mwanamke" ila mwanamke yeye anataka aku-treat same way ukike wake ulivyo na jinsi marafiki zake wa kike walivyo.
 
Mkuu upo bia ya ngapi..?
c972e1792c56545aad0758597b85a3be.jpg

Ndio nimeanza mkuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Its crazy to think kwamba mwanaume anapoingia katika mahusiano na mwanamke, mwanaume yeye anataaka amtreat huyo mwanamke kama "alivyo mwanamke" ila mwanamke yeye anataka aku-treat same way ukike wake ulivyo na jinsi marafiki zake wa kike walivyo.
..swali la "una feel vp" ni wakati gani? labda wakati wa show, other wise ni irrelevant
 
Machupa kilo moja ni 2500 kwa sasa...
Toba moja lina kilo mbili za machupa hivo hapo ni 2500ร—2 unapata 5000..

Assume kwa siku ukajaza roba zako 15 hi minimum utakua una 5000ร—15 = 75000
Kwa mwezi je...
Unajikuta unapata mshahara wa mbunge viti maalumu..

Stuka
 
Back
Top Bottom