Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 39,910
- 101,310
Jana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani.
Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa. Nilijikuta automatically natamani tule tumalize chap tuondoke ila hilo liliwezekana kwangu tu na nilimaliza kula haraka mpaka yeye mwenyewe akaniuliza kulikoni? Sikusikia hata ile ladha ya chakula hakika kutokuwa mwaminifu ni kubaya.
Anakuja kunipa simu nishakoma naenda kwenye recently opened app nakuta whatsapp,sms, google drive, call log, gallery & ms office. Ila hizi simu jana sikutegemea kabisa kama simu itashikwa muda ule, sikufanya usafi uzuri nilishamwambia akishika sitaki maswali. Sikuwa na vipengele ila kulikuwa na convo zenye ukakasi kidogo ambazo nilidhani nilishazifuta kumbe bado zimo.
Huu mtindo wa kushikiana simu ni hatari, wanawake huwa mnatafuta nini kwenye simu zetu?
Ukipendwa tulia na jiamini.