IKULU, TANZANIA: Rais Magufuli alivyomuapisha Rodgers William Sianga kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya.
LEO IKULU: "Vita hii ya dawa za kulevya ni kubwa hatuwezi kwenda nayo kwa mzaha, Serikali itahakikisha inasimamia sheria ya mwaka 2015" -JPM
IKULU, TANZANIA: Rais Magufuli amvisha cheo cha Jenerali, Dkt. Anna Peter Makakala kabla ya kumuapisha kuwa Kamishna Jenerali wa Uhamiaji
IKULU, TANZANIA: Rais John Magufuli alivyomuapisha Omar Yusuph Mzee kuwa Balozi Nchini Algeria leo February 12, 2017