Nyerere Hawakumtoa, Mzee wa watu aliona muda umefika kukaa pembeni. Pia ideology za kijamaa zilikuwa hazina mashiko tena. Ubepari ulikuwa unaongezeka kwa kasi Africa.
Pia nchi ilikuwa inaanza kuzalisha wasomi wengi, ambao baadae wangekuja kuhoji utendaji wake. Chukulia mfano Arsene Wenger.
Mugabe na Museveni, wazungu hawana interest na nchi zao. Hawawezi kuanzisha vita na nchi wasizo na faida nazo.