Salaam, Shalom.
INTRODUCTION.
Leo naongea na wale wote wanaoonewa katika nyanja mbalimbali,kiuchumi, AFYA,kisiasa,kimahusiano, kiimani nk nk.
Yaani umeonewa na adui Yako amezoea kukuonea Hadi anakuja live kukutambia,anakwambia waziwazi katika eneo lako la KAZI, biashara, ardhi, KILIMO kuwa hutafanikiwa. Mwingine akutishia kuwa atakuua na hujamkosea chochote.
Yaani wengine usiku ukiingia tu, unatamani hata usilale, maana ukifumba macho tu, Hawa hapa!!
Kila kitu kinachokusumbua, huanzia Rohoni kabla ya kuja mwilini, hao maadui zako kisiasa wanakushindia kwanza katika Ulimwengu Ule, kabla ya kuja katika mwili.
Huyo aliyemchukua mumeo wa NDOA,wengi huanzia Kupambana nawe katika Ulimwengu wa Roho na kukushinda, ndipo huja kumalizia huku katika mwili.
Usiende Kwa masangoma, tumia silaha hii, utanishukuru.
TUMIA SILAHA NO. 1, YA NENO, KUMALIZANA NA ANAYEKUSUMBUA KATIKA ULIMWENGU ULE WA ROHO.
Wapo wanaodhani kuwa, mapepo hawawezi kuuwawa, HAPANA, unaweza kuwauwa kabisa, usiishie kusema, kapiga, nateketeza, nakata,napiga pekee,wamalize kabisa Ili kesho waje wengine wapya kabisa.
Silaha hii ya NENO, huonekana kwa sura ya 1. UPANGA ukatao kuwili, pia huonekana kama 2. NYUNDO kubwa. Kila utumiapo silaha hii, vitu hivyo viwili hutokea.
TUMIA HESABU HII YA (7*7*3).
Unapoingia vitani, Leo tumia silaha Kwa kusoma vifungu vifuatavyo kabla ya kuanza kuomba Kwa kuwataja mapepo, Roho chafu ambazo ndizo zilizo chanzo Cha mashambulizi unayopitia.
FUNGU LA KWANZA.
( Soma maneno ya vifungu hapo chini mara Saba Kila kifungu kupitia BIBLIA Yako.
Isaya 42:6,
2samwel 2:10
Hesabu23:23.
Isaya 48:22.
Mambo ya walawi 26:7
Mithali 26:27
Kutoka 22:18
FUNGU LA PILI.
Chukua BIBLIA, soma Kila mstari ukirudia mara 7.
Zaburi 34:7
Zaburi 23:1-6
Zaburi 40:14-17
Zaburi 37:23-24.
Zaburi 44:5
Zaburi 5:1-2
Zaburi 41:13
FUNGU LA TATU.
Chukua BIBLIA, soma NENO la vifungu hivyo, kimoja kimoja, mara Saba.
Mithali 26:2
Isaya 57:19-21.
Zaburi 108:13
Luke 10: 19
Ufunuo 12:11
Zaburi 50:5-6
Waebrania 12:24
Rudia kusoma Kila mstari mara 7 Kwa Kila kundi yaani 7*7 mara makundi 3 Ili upate hesabu ya 147.
Ukishatudia kusoma vifungu hivyo Kutoka katika BIBLIA ndipo uanze kuomba, ukitaja maneno na maadui hao wa kiroho wanapokushambulia na kuwaangamiza Kwa njia ifuatayo.
Waambie, ENYI MAPEPO, NINAWAKAMATA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO, NINAKUTEKETEZA KWA JINA LA YESU, MFE,MFE,MFE NA MTEKETEE NA KUWA MAJIVU KABISA KWA JINA LA YESU.
Taja maneno ambayo unashambuliwa na mapepo na urudie tena na tena bila kuchoka.
Amini unachokitamka ndicho kinatokea katika Ulimwengu wa Roho.
NB: Vita hii ni ya kiroho, kamwe, isichukue silaha ya kimwili kumduru mtu aliye adui Yako, PAMBANA naye kiroho Ili uangamize Uchawi na nguvu zake za mapepo kiroho, Ili Yeye uje umrejeshe Kwa Yesu, maana UOVU chanzo chake ni shetani na mapepo katika Ulimwengu wa Roho.
ANGALIZO: Ikiwa hujaokoka, fuatisha Sala hii, Sema;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUSHINDA DHAMBI, NIWEZESHE NIISHI MAISHA MATAKATIFU.
AAMEN