Ikiwa umechoka kukaa duniani njoo huku utembee nami.Na leo tutapita hapo hapo kwenu

Muda huu nikiandika ndio kunakucha maeneo ya Morocco na Mauritania.Sisi tupo Ufaransa
 
Sasa hivi tupo Australia kusini mwa bahari ya Pacific.Tangu muda ule tuliokutana mapema tumepita nchi nyingi za ulaya,tukaingia China,ukraine na tukamalizia na Russia kabla ya kuingia bahari ya Pacific.
Mwendo kasi tunaokwenda nao haulingani na ndege yoyote ya abiria.
 
Back
Top Bottom