Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,299
- 4,555
Kwanza kabisa naomba nikosoe kitabu cha bibilia ambacho ndicho kinaipa mamlaka ISRAEL ya kuharibu amani ya Middle East na Inaonekana ni mkakati ambao umeandaliwa ili kuvuruga amani ya waarabu kwa kuwadhoofisha kwani ndiyo nchi pekee zinazomiliki nishati ya mafuta kwa wingi/utajiri hivyo wanaouwezo wa kuwa superpower na walishawahi kuwa hivyo wazungu waliogopa kuwa mfumo wao wa kibepari utapotea kama hawa washikaji watarise again.
Naipinga Bibilia kwa sababu imeandika kitu ambacho unknown and totally false hivi inakuwaje watu kabila (ISRAEL) lisiwepo alafu baadae liwepo kwa case ya ahadi ya mungu? Tunafahamu kuwa Yakobo ndiyo baba wa ISRAEL na yeye ndiye aliyekuwa mchungaji (anaehama), aliposikia mwanae kapata shavu akaamua aende mazima misri na kupanga namna ya kuipindua misri kuwa ya kwao jambo ambalo farao alisha tambua,baadae walifanyiwa umafya na Hitler nao waliona kuwa jamaa wanataka kuzingua.
Marekani akatafuta namna ya kuwakabidhi eneo ambalo ni mkakati wa kuichafua hali ya hewa ya middle east.
Ikitokea ISRAEL akajibu shambulio la Iran inatamaanisha ni vita kamili na kwa bahati mbaya Waarabu wa sasa ni tofauti na zama za kale tusiaminishane kuhusu six day war nao ulikuwa ni unafiki wa Waarabu wao kwa wao wanaangushana ila kama vita ikitokea middle east huyu jamaa watamuondoa chap.