Siasa siku zote ni mchezo mchafu kama wahenga wasemavyo sasa mimi ninauliza hivi ikitukea hawa wakawa viongozi wako utatarajia nini??Katika serikali ijayo??
RA-Waziri wa Fedha mipango na Uchumi!
EL-Waziri Mkuu
YManji-Waziri waviwanda na Bashara
Y.Makamba-Waziri wa habari
A.Kinana-Waziri wa ulinzi
Shimbo-Waziri wa Mambo ya ndani
L.masha waziri wa mambo ya nje!eep:
Hii team inaweza kuliongoza Taifa letu??kwa speaker tuliyenaye??