masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 15,989
- 13,446
ina imemuingia vizuri
mashaallah
Rangi ya Mtume hiyo...
Sema leo ni ibada vinginevyo ningesema ana vidole vizuri ila kwavile leo ni ibada we acha tu ulete na siku ingine kama jumatatu vile ili asikwazike mtu
ina inapendeza mtu mweupe ila mweusi kama mimi inakuaga kama uchafu
Jumatatu ndio itafaa
Ijumaa Maqbul kwa waungwana wote JF..
Ungenyamaza ungepungukiwa kitu?Au ndio nyie mnaopenda malumbano kisa dini?
Ungenyamaza ungepungukiwa kitu?Au ndio nyie mnaopenda malumbano kisa dini?
Ndo maana sikumjibu na hili nalifanya kwa watu woye wanaotafuta ugomvi
KUTOKUWAJIBU NI JIBU MURUA KWAO
Ni ufinyu wa akili ili na yeye aonekane amekomenti, nyambafu!!
Sometimes inakera mumie yani from no where mtu aanze kutuchafulia hali ya hewa kisa?
masai dada umenisamehe jamani??anatolea stress zake hapa
msamehe bure
kufanyaje?????????