snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,286
- 1,780
Kwanza tuanze kwa kujifunza kuhusu Open Source project katika ulimwengu wa Technology,
Open Source ni zile project ambazo source code zinakuwa available in public kwaajili ya modifications n.k isipokuwa atakaechukua source code na kumodify hatakuwa na umiliki hadi kusema kwamba ni software au project yake.
Zipo Open source project nyingi sana ikiwemo , Android, Linux, Java, MySqL, Joomla, Apache n.k
Sasa kinachofanyika ni kuwa, Mmarekani kila kitu anapenda awe anasniff kwa kigezo cha national security, kupitia security services zake kama vile CIA, FBI, NSA n.k
Ukigoma kuna consequence kubwa mfano DOJ marekani aliwapiga biti apple 2016 kwamba atawalazimisha watoe source code za iOS kwa FBI kama watakataa kutoa iCloud kwenye moja ya simu ya mtuhumiwa.
FBI threatens to Force Apple to Hand Over iOS Source Code
Google moyo wake asilimia kubwa umebebwa na Open source jambo ambalo linawapa kazi sana FBI, CIA na NSA kuplant malicious codes kwasabu ni open source zitaonekana ukilinganisha na iPhone ambayo ina script zao nyingi na kwasabu sio open source basi hakuna atakaeona, ndiomana wanashindwa kumnyang'anya app store japo anafanya monopolization nyingi sana ikiwemo kulazimisha baadhi ya app kulipia kupitia apple pay n.k
Marekani anategemea sana social networks kukusanya data kuliko anavyodepend kwa google kwasabu project zake nyingi ni Open Source project hivyo inampa ugumu kuplant malicious codes.
Apple ni full backdoored na USA ndiomana hawampi vipengele vingi watakuletea tu mbwembe kwamba hawawezi toa iCloud but surely they can isipokuwa wakifuata protocol ili kutoua brand, lakini kwenye real national security threats they will hasa kwenye mambo ambayo hutapata haki ya kuwa advocated.
Muda si mrefu google ataambiwa auze Google Pixel kama alivyonunua Motorola au Abaki na Android.
Follow Snipa255