Dr isaya febu
Member
- Jan 17, 2023
- 37
- 293
https://www.facebook.com/sharer.php...ia-ya-uzazi-wa-mpango-ya-kumwaga-nje-shahawa/
Njia ya uzazi wa mpango ya kumwaga nje shahawa inayojuliakana pia kwa kitaalamu kama withdrawal method/pulling out method ni ni mbinu ya uzazi wa mpango inayotegemea mwanaume kutoa uume wake kutoka kwenye uke wa mwenza wake kabla ya kufikia kileleni (kumwaga shahawa) wakati wa tendo la ndoa ili kuhakikisha kwamba shahawa haziingii ndani ya uke.
Lengo la njia hii ni kuzuia mbegu za kiume kufika kwenye yai la mwanamke (ovum), hivyo kuzuia mimba kutungwa hasa pale mwanamke anaposhiriki tendo la ndoa siku za hatari.
Ni muhimu shahawa zote zimwagwe nje ya uke kwani shahawa zinapomwagwa nje ya uke uwezekano wa mbegu za kiume kufika kwenye mfuko wa uzazi unapungua.
Njia ya uzazi wa mpango ya kumwaga nje shahawa inayojuliakana pia kwa kitaalamu kama withdrawal method/pulling out method ni ni mbinu ya uzazi wa mpango inayotegemea mwanaume kutoa uume wake kutoka kwenye uke wa mwenza wake kabla ya kufikia kileleni (kumwaga shahawa) wakati wa tendo la ndoa ili kuhakikisha kwamba shahawa haziingii ndani ya uke.

Lengo la njia hii ni kuzuia mbegu za kiume kufika kwenye yai la mwanamke (ovum), hivyo kuzuia mimba kutungwa hasa pale mwanamke anaposhiriki tendo la ndoa siku za hatari.
Jinsi Njia Hii Ya Uzazi Wa Mpango Inavyofanya Kazi:
Mwanaume anatakiwa kuwa na udhibiti wa hali ya juu wa mwili wake na kutoa uume kutoka kwenye uke mara tu anapoishi anakaribia kufika kileleni (perfect timing).Ni muhimu shahawa zote zimwagwe nje ya uke kwani shahawa zinapomwagwa nje ya uke uwezekano wa mbegu za kiume kufika kwenye mfuko wa uzazi unapungua.