Ijengwe Makumbusho ya Viongozi wa Vyama vya Siasa nao Wana Mchango mkubwa sana Kwenye Maendeleo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,239
168,806
Nilitembelea Makumbusho ya Taifa huwa napendelea zaidi kuliangalia gari la Tanu Land Rover 109 aliloendesha Babu yangu Mzee Kamtawa aka Saidi Tanu

Uongozi ni taasisi Ndio sababu likitajwa lile gari la Tanu anatajwa Mwalimu Nyerere na Dereva wake Mzee Saidi Tanu

Napendekeza ijengwe Makumbusho ya Viongozi wa Vyama vya Siasa akina Mzee Kawawa, Maalim Seif, Mchungaji Mtikila, Horace Kolimba nk...nk

Mlale unono 😀😀
 
Back
Top Bottom