Nchemba yuko juu sanaHahahahaahahh duuh mara hii washakua Black tena..
AahaaaaaHahahahaahahh duuh mara hii washakua Black tena..
Sema atarudi chini akitolewa uwaziriNchemba yuko juu sana
Wote tumshukuru mama kufanikisha hili
Huwezi jua amekula kwa urefu gani wa kamba yakeSema atarudi chini akitolewa uwaziri
Mwache rais ajaye aupaishe mkoa wa SingidaMwigulu anachekesha sana,anataka kushindana na GSM na Mo,utamaliza majina yote ila hakuna kitu utafanikiwa
AhaaaaaHuwezi jua amekula kwa urefu gani wa kamba yake
Wapo LitiNa wenzenu wale singida fountain gate wako wapi?
Kumbe walikua GreenHahahahaahahh duuh mara hii washakua Black tena..
Inafika hatua hata hajui zitumike vipi angalau zipungue ni kama drug lordWatu wanakwiba mahela hadi wanazichezea!