MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,799
Kocha Zubery Katwila Wewe ni Mwanangu kabisa tena tokea tukiwa tunacheza pamoja Soka pale Magunia Msasani ( japo baadae ukaniacha na kuendelea Kucheza Soka la Ushindani ) na akina Marehemu Ally Yusuf Tigana, Msela Monja Liseki Mawe na Fundi Gwakisa Mwandambo ( aishiye Mji Mpya Kawe ) na nakujua ulivyo mahiri na kwa Misimamo hivyo sitegemei kusikia kuwa Umeshamegewa na Yanga GSM SC ili uiachie na Ihefu FC yako ifungwe leo.
Tafadhali Kocha Zubery Katwila usichukue Pesa yoyote kutoka kwa Yanga GSM SC ili uwaachie na Wakufunge leo kwani najua na naamini kwa Mbinu zako Kali kama ambazo ulikuwa nazo wakati Yanga GSM SC ikicheza na Mtibwa Sugar ambayo ulikuwa Kocha wake hukufungwa nao bali uliwafunga na Ushindi wao Kwako ilikuwa ni Sare au Suluhu.
Juzi nakumbuka tukiwa na Monja Liseki maeneo ya Kinondoni katika Kijiwe chetu na Kaka Zamoyoni Golden Boy Mogella nilikupa Mbinu za Kimafia za Kuwakabili Yanga GSM SC ili leo uwamudu, wasikufunge na uweze Kuwafunga ili Ihefu FC yako ifuzu hatua Muhimu ya 32 bora na naamini unaikumbuka Zube.
Ingia na Mkakati huu wa Kupanga Wachezaji wako Makatili ambao muda Wote wawe Wanafika na Wanagongana sana na Wachezaji Hatari na Chanzo Kikuu cha Ushindi wa Yanga GSM SC akina Khalid Aucho, Feisal Salum Fei Toto na Yanick Bangala na utawaweza na Kufanikiwa leo.
Hapo Ihefu FC najua una Viberenge wako Wawili ambaye Mmoja ulimkuta na mwingine ulitoka nae Mtibwa Sugar hivyo nakuomba leo wapange Wote ili wawape wakati Mgumu Mabeki hatari wa Yanga GSM SC akina Djuma Shaaban na Kibwana Shomary na waogope Kupanda Kushambulia.
Pia una Beki wako Mmoja mzuri sana kwa Kucheza Rafu za Akili kama alizokuwa akizicheza Kaka yetu Marehemu Said Mwamba Kizota ( Baba Tosha ) hivyo Leo mwambie awe anawadonoa mno Wachezaji wa Yanga GSM SC ili wamuogope na wamkimbie pia kwani hakuna Wachezaji Waoga wa Rafu na Kuumia kama wa Yanga GSM SC.
Zube leo ukitekeleza kwa 100% haya ambayo nimekuambia hapa na Ihefu FC ikashinda na Kufuzu Nina Mzigo wako wa Tsh Milioni 15 kutoka kwa Tajiri Mmoja nchini Tanzania na nitakuletea mpaka hapo Kwako ambako napajua ili nikukabidhi na Wewe ukagawane haraka na Wachezaji wako wote wa Ihefu FC.
Hilo Gari la GSM najua tokea Jana Usiku hadi leo Mchana lipo hapo Kambini Kwenu mlipo ili Kuwalainisheni na Mlegeze hivyo nami KEROZENE nasema endapo Zubery Katwila nawe utalainishwa na ujio wa hilo Gari la GSM hapo na Ukafungue leo basi Mimi nawe Urafiki wetu nao utafikiwa Kikomo.
Nina uhakika Yanga GSM SC hata kama ni Timu Kubwa na Kongwe Tanzania ila kwa Uzoefu na Mbinu zako hawakuwezi hivyo nategemea leo kuona Mende wa Mbeya akiliangusha Kabati la Jangwani Kariakoo.