IGP Wambura na Waziri Masauni kwakuwa mmekata Kumaliza Uhalifu Tanganyika Packers, naenda kufanya yafuatayo...

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,948
119,240
Mpaka muda huu GENTAMYCINE kwa Juhudi zangu Binafsi kwa Kushirikiana na Wazee na Wakazi maeneo ya Kawe Mji Mpya, Tanganyika Packers, kwa Kavishe na kwa Gift nimeshaupata Mtandao wa hawa Vijana Wezi, Wakabaji na Vibaka wasumbufu wa hilo Eneo.

IGP Wambura na Waziri Masauni kwakuwa GENTAMYCINE nimeshaandika sana Mada hapa kama Mzalendo Mwandamizi Tanzania nzima kuwaombeni ongezeni Ulinzi hilo Eneo kwani Uhalifu kila Siku tu Unaongezeka na hamsikii ni kwamba kuanzia leo hii Kisirisiri na Kimafia nikiwa na Msaada wa Watu Sita kutoka Wazee wa Upanga na Oysterbay tunaenda Kuwasaidieni Kazi na nyie ninachowaombeni tafuteni tu Makaburi ya Kuwazika kwani TUMESHAVUMILIA sana na TUMESHACHOKA.

IGP Wambura ni mara ngapi nimekuambia Udhaifu wa Polisi wako wa Kituo cha Kawe tena wakiongozwa na Mkuu wao wa hicho Kituo?

Kupambana na Uhalifu hawawezi ila Kugombania Kutwa kwenda Kumsindikiza ( kumpa Escort Mtume Mwamposa ) ili awape Ganji ( Hela ) Shilingi 150,000/ kwa kila Askari huku Mkuu huyo wa Kituo Yeye akipewa yake Tsh 300,000/ wanawezaa sasa Wanarogana ili Wasikosekane.

IGP Wambura na Waziri Masauni kama kuna Kitu Kimenipandisha Hasira zangu Kali za Kizanaki, Kiyao na Kitutsi GENTAMYCINE ni Kitendo cha Wezi hawa Juzi Usiku wa Saa 2 Kumvamia Jamaa aliyekuwa kapaki Gari yake anarekebisha upande wa Injini kisha wakajitokeza Watu Watatu waliovalia kama Walinzi Shirikishi na kujifanya Wanamsaidia ambapo baada ya dakika 10 wakamchomolea Mapanga na Kumuibia Laptop yake,, Simu zake Mbili, Pesa, Nguo na Viatu ambavyo alikuwa Kamnunulia Mkewe kisha Kutokomea upande wa chini Mabondeni wanajificha.

Cha Kuuma na Kusikitisha zaidi Jamaa baada ya Kuibiwa tu akawasha Gari haraka na kwenda Kituo cha Polisi Kawe ambacho hakikuwa mbali na alikotendewa Uhalifu huo na Jibu pekee alilopewa na Askari wa zamu ni kwamba aje ( aende ) Kesho. Pumbavu kabisa huyu Askari wa zamu wa Kawe Police Station wa Siku hiyo.

IGP Wambura na Waziri Masauni hilo Eneo la Kawe Tanganyika Packers Wanawake ( Wamama ), Mabinti Wanabakwa mno na mwaka jana kuna Mbili za Wadada zilikutwa ambazo ziliuliwa na hawa Wahalifu baada ya Kumaliza Kuwabaka huko Vichakani.

Hivi IGP Wambura na Waziri Masauni mnashindwa nini Kumuamrisha huyo Mwekezaji wa Kichina na hata Mtume Mwamposa, Waturuki wa Shule ya Fedha, Kanisa Katoliki Kawe wote hawa Waweke ( Wafunge ) Flood Lights hilo Eneo ili hata Sindano tu Ikidondoka ionekane na hawa Wahalifu washindwe kuweka Kambi yao hapo huku mkiwahimiza pia na Wakazi wa hilo Eneo kuwa na utaratibu wa Kufyeka Mapori na Nyasi ndefu ambazo ndizo zimekuwa Fichio Kubwa la Wahuni na Wahalifu hawa?

IGP Wambura nisikufiche Kaka yangu na Poti ( Mwetu ) wangu wa Kizanaki kiukweli Unaniangusha mno na sijui ni kwanini huna ule Ubabe / Ubandidu Uliotukuka wa Sisi Watu wa Mkoa wa Mara.

Yaani Umelegea na Kuzubaa utadhani hawa Washamba wa Makabila ya Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi.

Waziri Masauni Wewe sitaki sana Kuhangaika nawe kwani tokea uwe na Vyeo vya Kiserikali ( Uwaziri / Unaibu ) sijawahi kuona ni wapi umefanya la maana na Tija na kwa Lugha nyepesi ni kwamba Wewe huenda ndiyo Kwangu Mimi GENTAMYCINE ukawa ni Waziri Mbovu na Goigoi Tanzania nzima na usiyefaa kabisa hata kuwepo katika hiyo Docket ya Internal Affairs.

IGP Wambura nakuamuru futa Kazi upesi sana Mkuu wa Polisi wa Kituo cha Kawe na nakuomba badilisha Askari wote wa hapo na leta wapya kwani 98% ya walioko ni Wala Rushwa, Wachonga Dili na Wabambikaji Kesi Watu na Waoneaji Raia.

IGP Wambura namalizia kwa Kukuambia tena kuwa kwakuwa Askari wako wa Kawe Police Station kwa Makusudi na kwa Kushirikiana na baadhi ya hawa Wahalifu wameamua Kuwalinda sasa kuanzia Leo Mimi GENTAMYCINE na Team yangu ya MAFIA Watupu tutawasaidieni Kazi ila nyie hakikisheni tu mnaandaa Makaburi yao ya Kuwahifadhi sawa?

Nimeshapewa Majina ya baadhi yao ambao ni Madereva Bodaboda Kituo cha Basi cha Kanisani Kawe ambacho kipo Jirani na Kituo cha Polisi Kawe ila Polisi wenye Intelijensia Kubwa hawawajui lakini GENTAMYCINE ( Mzalendo Mwandamizi ) amewajua.

Kituo cha Bodaboda Maringo wako Wawili, Kituo cha Bodaboda Ukwamani wako Watatu, Kituo cha Bodaboda Kanisani kwa Mtume Mwamposa wako Watano na Kituo cha Bodaboda Bondeni Shoko Kawe wako kama Tisa hivi.

Nimeanza mwaka huu wa 2024 kwa Hasira Kali na hawa Wahalifu wa Kawe Tanganyika Packers ambao kwa 75% wanalindwa na Askari Polisi wa Kituo cha Kawe kwakuwa Wanakula / Wanashirikiana nao.

Happy New Year IGP Wambura, Waziri Masauni na Wahalifu wote. ACP Muliro ( Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam ) Wewe wala sipotezi muda nawe kwani hakuna ukifanyacho na unachojua ni kuwahi tu Siti Uwanja wa Mkapa au Chamazi Complex ukawatizame Yanga SC ambao unawapenda hakuna mfano.
 
Umetisha Mkuu! ila nimecheka sana kwa hili andiko
Genta kama Genta
 
Muliro alipandishwa Cheo,ni SACP(Senior Assistant Commissioner of Police) na si ACP (Assistant Commissioner of Police)
 
Back
Top Bottom