Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,846
IGP Ernest Mangu alikuwa Live muda mfupi uliopita kupitia STAR TV, ametangaza kuwasimamisha kazi maofisa kadhaa wa Jeshi lake kupisha uchunguzi juu ya sakata la kujihusisha na mtandao wa madawa ya kulevya, najitahidi kupata majina yao nitayaweka hapa
Nimeskia alivyokuwa akisema amenikera kukwepa swali LA Mwandishi kaulizwa yale maeneo wanayotundika viatu yanasemekana Kuna madawa ETI yeye anamwambia Mwandishi akachunguze hio story.. Ushauri wangu naona huyu IGP abadilike ni mpole Sana Hawez kwenda na KASI ninayoitegemea.. MFANO mzuri angalia makonda anavyoongea unaona kabisa jamaa yupo serious.. Hii nchi tumefika sehemu kila mtu abadilike siasa ziwekwe pembeni Sasa mkuu wa jeshi hutakiwi kuogopa ogopa hivyo.. Anaulizwa ETI wakina wema bado wapo ndani yeye anajibu ETI hayo mambo ni siri Aah wapi Kwa akili ya kawaida makonda angesema tu ukweli Hali ilipofikia.. Vitu vingine wasiogope wanatakiwa wajue watanzania tunataka habari.. Magufuli na makonda na pole pole wanapatia Sana
Unataka kusema Makonda awe Promoted kuwa IGP sio ?Nimeskia alivyokuwa akisema amenikera kukwepa swali LA Mwandishi kaulizwa yale maeneo wanayotundika viatu yanasemekana Kuna madawa ETI yeye anamwambia Mwandishi akachunguze hio story.. Ushauri wangu naona huyu IGP abadilike ni mpole Sana Hawez kwenda na KASI ninayoitegemea.. MFANO mzuri angalia makonda anavyoongea unaona kabisa jamaa yupo serious.. Hii nchi tumefika sehemu kila mtu abadilike siasa ziwekwe pembeni Sasa mkuu wa jeshi hutakiwi kuogopa ogopa hivyo.. Anaulizwa ETI wakina wema bado wapo ndani yeye anajibu ETI hayo mambo ni siri Aah wapi Kwa akili ya kawaida makonda angesema tu ukweli Hali ilipofikia.. Vitu vingine wasiogope wanatakiwa wajue watanzania tunataka habari.. Magufuli na makonda na pole pole wanapatia Sana
Aiseee! Una umri gani bandugu?MFANO mzuri angalia makonda anavyoongea unaona kabisa jamaa yupo serious..
Ni kweli Lakini ukali kidogo unasaidia mfano JUZI makonda kaongea tu kwamba wauza madawa watasakwa Sana nimepita Jana ubungo pale kwenye kibanda cha pipi ambacho Kuna ma dealer wanawauzia vijana wa darajani nikakuta hawapo ni kama Ile KAULI iliwashtua.. Sasa hata ukiangalia facial expression za mangu unaona kamanda yupo kama anatoa taarifa fulani wakati Wao wako na jukumu LA kuzidi kukemea.. Kwa Sasa Hali iliyopo ni kama operation zitafuata so alitakiwa aonyeshe hisia fulani mpka za kufanya hata sisi raia tujue jeshi liko upande wetu na ni watetezi wetu hasa Zama hizi ambazo jeshi lina Skendo kias imani Kwa jeshi ilipungua. Ukali against Hawa ma dealer unasaidia Sana unatufanya tuone kweli jeshi limedhamiria kiasi taarifa hatuataogopa kuzi PELEKA police.. Tunayo mengi tunajuaSifa kuu ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi ni kutokuwa na Mihemko!
Usifananishe na Wanasiasa!
Aiseee! Una umri gani bandugu?
Ebu toa jambo moja tu ambalo Makonda kalifanikisha kwa asilimia
Wewe una chuki.. Tena sio na makonda tu bali na serikali yetu ya awamu hii.. Kifupi ni kwamba makonda na magufuli wanafanya vizuri Sana na haijawahi kutokea.. Kudhibitisha Hilo Subiri 2020Aiseee! Una umri gani bandugu?
Ebu toa jambo moja tu ambalo Makonda kalifanikisha kwa asilimia
Ni kweli Lakini ukali kidogo unasaidia mfano JUZI makonda kaongea tu kwamba wauza madawa watasakwa Sana nimepita Jana ubungo pale kwenye kibanda cha pipi ambacho Kuna ma dealer wanawauzia vijana wa darajani nikakuta hawapo ni kama Ile KAULI iliwashtua.. Sasa hata ukiangalia facial expression za mangu unaona kamanda yupo kama anatoa taarifa fulani wakati Wao wako na jukumu LA kuzidi kukemea.. Kwa Sasa Hali iliyopo ni kama operation zitafuata so alitakiwa aonyeshe hisia fulani mpka za kufanya hata sisi raia tujue jeshi liko upande wetu na ni watetezi wetu hasa Zama hizi ambazo jeshi lina Skendo kias imani Kwa jeshi ilipungua. Ukali against Hawa ma dealer unasaidia Sana unatufanya tuone kweli jeshi limedhamiria kiasi taarifa hatuataogopa kuzi PELEKA police.. Tunayo mengi tunajua
Yes sir! Huwezi kumaliza vita ya madawa kwa kupambana na donkeys na manyoka! Pambana na ma-don wenyewe. Ukikamata donkey, don atatafuta donkey mwingine. Ukikamata nyoka, manyoka wengine watatokea!!Kwahiyo hii nayo ni Kiki?
IGP ni Kikwete type he is more royalNimeskia alivyokuwa akisema amenikera kukwepa swali LA Mwandishi kaulizwa yale maeneo wanayotundika viatu yanasemekana Kuna madawa ETI yeye anamwambia Mwandishi akachunguze hio story.. Ushauri wangu naona huyu IGP abadilike ni mpole Sana Hawez kwenda na KASI ninayoitegemea.. MFANO mzuri angalia makonda anavyoongea unaona kabisa jamaa yupo serious.. Hii nchi tumefika sehemu kila mtu abadilike siasa ziwekwe pembeni Sasa mkuu wa jeshi hutakiwi kuogopa ogopa hivyo.. Anaulizwa ETI wakina wema bado wapo ndani yeye anajibu ETI hayo mambo ni siri Aah wapi Kwa akili ya kawaida makonda angesema tu ukweli Hali ilipofikia.. Vitu vingine wasiogope wanatakiwa wajue watanzania tunataka habari.. Magufuli na makonda na pole pole wanapatia Sana