Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,373
Ni mwezi sasa umepita tokea kampuni ya AZSKY ipatwe na majanga ambayo yameipelekea ioneshe channel moja moja au completely isioneshe kwa mda mrefu sasa na hamna anayejua zitanyanyuka lini kutoka usingizini na kurejesha huduma yenye nguvu kama awali
Baada ya kuwasiliana na ma-suppliers wa China wakanambia kwamba kwa sasa AZSKY inaweza kufanya kazi endapo tu ntapata CCCAM inayofungua channel za "dsthieves" na mm katika kusaka saka mitandaoni nikakutana na kampuni yenye cccam inayofungua hizo channel na ni kampuni ya Wajerumani sio Chinkos ambao hawako serious na huduma wazitoazo...
To cut the story short leo ntakuelezeeni jinsi ya kuifanya AZSKY G6 iendelee kuonesha kama awali na stable zaidi ya awali na ikiwezekana kuonesha channel za HD...
Wale wajanja wa mitandaoni mwaweza kutafuta cccam za mwezi au miezi mitatu ambako Team ya AZSKY ime ahidi kurudisha huduma ndani ya huo mda
MAHITAJI YA KUTUMIA CCCAM
1.USB WiFi adapter kwa watumiaji wa WiFi
2.HUawei 3G Modem(isiwe ya Voda Hi Link)
3.AZSKY Latest software supporting Huawei modem
4.Umeme wa kuaminika
5.Virus free Pendrive
MAMBO YA KUZINGATIA
1.Kwa wale mtakao opt kutumia 3G Huawei modems itabidi kuinstall software mpya ambayo wameiachia AZSKY
Waweza kuipata hapo chini
2.Kwa wale ambao mtachagua njia ya kutumia USB WiFi adapter basi hauitaji ku upgrade kuja software mpya
Wireless internet waweza kutumia ya simu,au router au Laptop iwapo utaweka software aina ya CONNECTIFY iko JF Store https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=614048
3.Na kabla ya kufanya Upgrade hakikisha unalo lile file la "BACKUP" kama hauna basi waweza fanya Back up kwenye MENU→UPGRADE & BACK UP→BACK UP TO USB
4.Fanya Upgrade iwapo umeelewa kilichoandikwa
JINSI YA KU UPGRADE AZSKY G6
Fo full details visit HERE
1.Download AZSKY G6 BETA Version kutoka HAPA
2.Unzip/Extract hilo file ulilo download hapo juu kwa kutumia Winzip au WinRaR kama hauna katika PC yako download kutoka HAPA
Ndani ya .rar file utakuta file la .ssu na hilo ndonlitakalo tumika
3.Copy file ulilo unzip kutoka kwenye pc kuja kwenye USB Flash/Pen drive
4.Chomeka hiyo USB Flash kwenye Tundu la AZSKY G6 kisha Bofya MENU→SYSTEM SETRINGS→UPGRADE & BACKUP→USB UPGRADE
Ikimaliza itaji Reboot yenyewe na utakua umemaliza kazi ya ku-upgrade
JINSI YA KU-CONNECT MODEM
1.Navigate kwenda MENU→SYSTEM SETTINGS→NETWORK SETTINGS
Ukifika hapo ondoa LAN Network weka 3G Network afu chagua AUTO ili ukochomeka modem iji connect automatically na hakikisha status ipo CONNECTED ,angalia picha kwa kwa summary
JINSI YA KUTUMIA CCCAM/MGCAMD Protocol
1.Bofya MENU→OTHERS→SERVER SETUP
Afu chagua cccam protocol kwenye server type kisha jaza credentials za c line uliyonunua
HITIMISHO
Kama umenunua cline ya satellite husika basi AZSKY G6 itanyanyuka na kuanza kufanya kazi
Waweza ku-google neno "CCCAM" kuangalia bei na kununua makampuni mengi yana offer TEST line kabla ya kukuuzia iwapo unanua directly kutoka kwao
Kwa wale wenye shida na c line mwaweza kuwasiliana na mm namba zangu zipo kwenye signature/footer
Whatsapp for more pics and clips +255753932250
Or call
+255657209956
Maelezo ya QSAT yatakuja soon keep in touch....
Ikumbukwe receiver yoyote inayotumia Internet kupitia wifi,LAN na 3G Modem lazima iwe na uwezo wa kutumia CCCAM hivo kama unayo receiver kama strong decoder srt 4922 au Dreambox au Openbox etc basi tuwasiliane pia kama unataka cline