BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,812
NBC PL imezipiku Ligi za Tunisia,Afrika Kusini,Angola, Nigeria na Zambia.
Misri inaongoza kwa Ligi bora Afrika,ikifuatiwa na Algeria,ya tatu ni Morocco wakati nafasi ya nne ni Sudan.
Kwani Ligi ya Spain ni ya team ngapi!?Kwa vigezo gani vilio tumika kuchagua hizo ligi, kama ligi ya timi tatu Simba Yanga na Azam. Imekua ya tano banana Africa sasa naanza kuamini Africa hatuna mpira.
Na marefa wasiojielewa..Nakataa nakataa nakataa! Ligi hii yenye Coastal Union na Ihefu Fc?
Mno mnoHakika, ila makolo ndiyo yanatuharibia
Zote timu 20 zinajaza washabiki na kununua wachezaji wanao wataka kwa bei ile ile sio hapa bongo kila refu ana timu yake na nilazima eshindeHilo la Tanzania kuizidi South Africa kwa ubora wa ligi mmmh labda watupe vigezo tuone.
Kama kitaifa ni sawa tu, hata kama ni WA kwanza sawaYani viwanja vyenyewe kuna timu hazina,
Malefa kila mwezi wanachezesha kwa makosa kibao alafu et wanasema tuko nafasi ya 5 kitaifa
Ha ha ha hii ni Takwimu za mchongo
Kutoka kwenye taasisi ya mchongo