Ifahamu homa ya nyani ama kwa kiingereza monkey pox

Dede 01

JF-Expert Member
May 12, 2024
695
1,261
Homa ya nyani ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi kinachotoka kwa nyani.

Kirusi hiki kiligundulika mnamo mwaka 1958 barani Ulaya.Ila mwanadamu wa kwanza kuupata ugonjwa huu aliupata mwaka 1970.

Ugonjwa huu,dalili zake zina fanana na ule wa tetekuwanga lakini huu una mateso zaidi kama vile;maumivu ya kichwa na kuvimba kwa lymph nodes.

Ugonjwa huu kwa sasa upo barani Afrika .Kama tunavyo jua ndugu zetu WAKENYA NA CONGO wanasumbuliwa na ugonjwa huu.

Hivyo basi watanzania tuepuka kusafiri kwenye haya mataifa na pia Wizara ya Afya ichukue hatua stahiki ili tuuepuke huu ugonjwa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.🇹🇿
 
Angalia upele wa homa ya nyani hiyo
Monkeypox.jpg

WE HUOGOPI?
 
Back
Top Bottom