Anakumbuka kujifunika shuka kumeshapambazuka.Alifuja zile pesa za BBA sasa anatafuta kuganga njaa
Njaa noma, hadi kaamua kuingia kwenye fani ya ukomedi na ubrazamen wote huoMashangingi wabaya sana, wamemlia pesa zake mpaka kageuka mwehu.
IndeedWajuzi wa mambo wanasema mafanikio pia uenda na umri,... huwezi kuwa kijana mdogo halafu unamafanikio makubwa tena yaliyojijia tu ghafla amini yatakutesa...hii haitofautiani na wale watoto wanaorukishwa shule hasa international school..inapelekea inawagharimu sana huku ngazi za juu..maana wakati anaotakiwa awaze mambo ya maana ye anawaza utoto wakati anashirikiana na wakubwa..Huyu akikua ataacha.