IDF yavamia hospital ya Kamal Adwan Gaza, 240 wakamatwa akiwemo mkurugenzi pamoja na magaidi 15 wahusika shambulizi la 7/10/2023, silaha zakamatwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,568
8,069
Wadau hamjamboni nyote?

Msako wa magaidi ya Hamas unaendelea huko Gaza

Hospital husika ilianza kutumika upya kuwa makao ya magaidi ya Hamas hivyo IDF baada ya kupata taarifa za kiinteligensia ikaamua kufanya operesheni ya kijeshi

Kumbe hata mkurugenzi wa hospital hiyo naye ni mtuhumiwa na tayari katiwa mbaroni

Mungu wabariki mayahudi wote duniani

The Israeli military says it has completed its operation against Hamas at northern Gaza’s Kamal Adwan Hospital and the surrounding area, during which some 240 suspected terror operatives were detained, including the medical center’s director and 15 terrorists who participated in the October 7, 2023, onslaught.

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

The IDF said it had intelligence of the hospital “returning to being used as a Hamas terror stronghold and a shelter for terrorists, despite repeated calls to refrain from allowing [terror operatives] to exploit hospitals for military activities.”

The operation was led by the IDF’s 162nd Division with several units.

At the start of the raid, the IDF says troops of the 401st Armored Brigade surrounded the hospital, detained several members of terror groups, and killed additional gunmen.

Members of the Navy’s Shayetet 13 commando unit then carried out “precise activities” inside the hospital, during which they located and captured weapons, including grenades, handguns, ammunition, and other military equipment, according to the IDF.
 
Daaaah..... Tuna wakati mgumu sana.
Ritz Adiosamigo Webabu naona mmekimbia kabisa huku JF mmeniacha peke yangu nashindwa hata kutetea.
 
Israel wanatakiwa kuichukua Palestina yote na wajenge concetration camps kwa ajili ya wapalestina. Wapalestina wapewe mahitaji muhimu tu na siyo mamlaka kamili ya kujitawala. IDF wawepo maeneo ya Lebanon na Syria ku maintain military buffer zone, Iran ihasiwe kijeshi. Hizo ndo njia pekee za kuhakikisha usalama wa Israel.
 
HITLER style sio. hii dunia Muumba aingilie kati mwenyewe tu
 
Humo ndio maficho ya magaidi! Kwenye intelligence Israel amewekeza hasa. Hata kinyesi anaweza kukuambia ni cha gaidi gani na amemwaga mbolea mida gani. Wacha kabisa bila hivyo Israel ingeshatoweka.
Nilimkubali myahudi kwenye intel alivyokabiliana na Hizboallah. Kila shot ilikuwa on target, goal scored. Kwenye vita na Hizboallah IDF ilikuwa zaidi ya Messi na MOSSAD zaidi ya Iniesta/Xavi katika kilele cha ubora wao, bonge moja la collabo.
 
Maficho ya mateka wao awajui walipo vip wajue maficho ya Hamas awa wapuuzi wamedanganywa kuwa pale hospital ndio wamewekwa mateka wao kukuta akuna ata mmoja sasa wamegeukia plan B kufanya propaganda ijulikane kulikuwa na Hamas. Wameshaanza kuuwachia waliowachukua kwenye iyo hospital alafu mizwazwa mnawasifia Mossad ushizi wamekwama awakupata mateka yoyote kenge tu awa wakizungu
 
Nilimkubali myahudi kwenye intel alivyokabiliana na Hizboallah. Kila shot ilikuwa on target, goal scored. Kwenye vita na Hizboallah IDF ilikuwa zaidi ya Messi na MOSSAD zaidi ya Iniesta/Xavi katika kilele cha ubora wao, bonge moja la collabo.
Hakuna aliyewaza Nasrallah angekuwa eliminated the way he was eliminated! That event marked the beginning of the end of terrorists regime in middle east.
 
Back
Top Bottom