IDF yamuua Mohamed Shaheen amanda mwandamizi wa Hamas huko Lebanon

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,780
8,354
IDF imethibitisha kufanya shambulio la anga katika mji wa pwani wa Sidon, Lebanon, asubuhi ya leo, na kumuua kamanda mwandamizi wa Hamas.

Shabaha ya shambulio hilo, Mohammed Shaheen, alikuwa mkuu wa operesheni za Hamas nchini Lebanon, kwa mujibu wa jeshi na Shin Bet.

IDF inasema Shaheen alihusika katika kupanga mashambulizi ya kigaidi dhidi ya raia wa Israel kwa ufadhili na mwongozo wa Iran.

“Shaheen alikuwa ni mtu muhimu katika intelijensia za hamas na alihusika katika vita vyote kwa kusimamia mashambulizi mbalimbali ya kigaidi, ikiwa ni pamoja na mashambulizi ya roketi dhidi ya maeneo ya Israel,” IDF imeongeza.

======================================================

The IDF confirms carrying out an airstrike in the coastal Lebanese city of Sidon this morning, killing a senior Hamas commander.

The target of the strike, Mohammed Shaheen, was the chief of Hamas’s operations in Lebanon, according to the military and Shin Bet.

The IDF says Shaheen was involved in advancing terror attacks against Israeli civilians, with Iranian funding and guidance.

“Shaheen was a significant source of knowledge within the organization and was involved throughout the war with advancing various terror attacks, including rocket fire on the Israeli home front,” the IDF adds.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Msako wa magaidi unaendelea

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

IDF asubuhi ya leo yamuua kupitia shambulizi la ndege mohamed shaheen kamanda mwandamizi wa hamas huko pwani ya jiji la sidon lebanon

Today, 1:36 pm

The IDF confirms carrying out an airstrike in the coastal Lebanese city of Sidon this morning, killing a senior Hamas commander.

The target of the strike, Mohammed Shaheen, was the chief of Hamas’s operations in Lebanon, according to the military and Shin Bet.

The IDF says Shaheen was involved in advancing terror attacks against Israeli civilians, with Iranian funding and guidance.

“Shaheen was a significant source of knowledge within the organization and was involved throughout the war with advancing various terror attacks, including rocket fire on the Israeli home front,” the IDF adds.
Duuh....Yahudi Si mchezo
 
IDF imethibitisha kufanya shambulio la anga katika mji wa pwani wa Sidon, Lebanon, asubuhi ya leo, na kumuua kamanda mwandamizi wa Hamas.

Shabaha ya shambulio hilo, Mohammed Shaheen, alikuwa mkuu wa operesheni za Hamas nchini Lebanon, kwa mujibu wa jeshi na Shin Bet.

IDF inasema Shaheen alihusika katika kupanga mashambulizi ya kigaidi dhidi ya raia wa Israel kwa ufadhili na mwongozo wa Iran.

“Shaheen alikuwa ni mtu muhimu katika intelijensia za hamas na alihusika katika vita vyote kwa kusimamia mashambulizi mbalimbali ya kigaidi, ikiwa ni pamoja na mashambulizi ya roketi dhidi ya maeneo ya Israel,” IDF imeongeza.

======================================================

The IDF confirms carrying out an airstrike in the coastal Lebanese city of Sidon this morning, killing a senior Hamas commander.

The target of the strike, Mohammed Shaheen, was the chief of Hamas’s operations in Lebanon, according to the military and Shin Bet.

The IDF says Shaheen was involved in advancing terror attacks against Israeli civilians, with Iranian funding and guidance.

“Shaheen was a significant source of knowledge within the organization and was involved throughout the war with advancing various terror attacks, including rocket fire on the Israeli home front,” the IDF adds.
hao makamanda wataendelea kuwepo mpk israeli ifutike duniani
 
Tuliambiwa huku mtaan eti hzbolha syo hamasi israel isjaribu, ila kisago kilipoanza nkagundua bora hamas kuliko hzbolha
Huelewi vita wewe wako smart sana na front foot hadi raha kwakweli i was enjoying the battle hizbollah wako aggressive sana, nachowapendea waki set foot hata kama ni wawili hawataondoka hapo either wafe wao au mfe au wawashinde ni machine gun tu, moshi na granedes matokeo ni IDF kufa au kurudi nyuma au kuomba usaidizi wa air force what a discipline?

I missed the battle mpka natamani irudi tena japo nadhani watahamia Syria kuwasha kufungua njia ya mizigo yao, IDF wana air force nzuri sana kwa kutumia US jets lakini waliishia kuharibu makazi tu mpaka sasa wanahaha kubaki Lebanon. Tatizo la hizbo ilikua intelligence breach serikali ya Lebanon inawazingua sana
 
Back
Top Bottom