Idd Amin dada vs North Korea president

lady mmarangu

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
306
165
Wakuu wa nchi naona huyu kichaa wa north Korea na na Iddi Aman wa uganda hawana tofauti sana .huyu wa NK alimua mjomba wake na waziri wa ulinzi tena walipigwa na kombora la kutungulia ndege eti kisa amesinzia kwenye mkutano .so sad
 
Ukiishi kwa akili za kuambiwa siku zote utabaki kuwa mjinnga milele..kila unachosikia we una kiamini tuu sasa akili yako unaitumiaje hapa duniani?? Au unaitumia kuvaa na kuvua cchupi tu??
 
duuuuh hatari sana
 
Hahahaaaa!! Ni kweli kabisa Mkuu,hizi akili za kuambiwa na kuamini tu huwa ni sawa na SPONJI linanyonya kila kimiminika tu.
 
Ukiishi kwa akili za kuambiwa siku zote utabaki kuwa mjinnga milele..kila unachosikia we una kiamini tuu sasa akili yako unaitumiaje hapa duniani?? Au unaitumia kuvaa na kuvua cchupi tu??
Yawezekana na chupi anavuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…