Mwigulu anasimamia majeshi yafuatayo
1.polisi
2.magereza
3.zimamoto
Kwenye utekaji,waliotekwa wote hawakupatikana maeneo anayoyaongoza kwa maana ya vituo vya polisi,wasanii walitembelea vituo vyote hawakuwakuta
Aliyemtishia nape si askari aliye chini ya wizara ya mwigulu.
Waliowakamata akina bashe na msukuma,kama Maelezo ni kwamba ni maafisa usalama,hawako chini ya mwigulu kwa maana ya wizara ya mambo ya ndani.
Idara ya usalama iko chini ya Ofisi ya Waziri anayehusika na utawala bora,kama ni kweli ndiyo inatuhumiwa kufanya hayo.
Upande wa mwigulu kwa maana ya Waziri wa mambo ya ndani,IGP na ma RPC tuwatafutie kosa jingine
Abaki humo humo asitoke,wewe mpuuzi sana, hujui sisi hapa tunataka serikali isambaratike ili sisi chadema tuchukue usukani kiulaini kupitia Mh Lowassa.Huoni hata wabunge wote walioko kambi ya Lowasa na Membe chini ya uongozi shupavu wa Lizone Kikwete, Bashe,na Nape wote wameungana n UKAWA ili tuibomoe serikali..Sasa wewe CHADEMA mwenzangu Ipalamasa unataka kuharibu.Kwani nchemba akifukuwa huoni upande wetu utaongeza Masahbiki
Kwani leo Mange anapotoa habari za TISS au habari anazoziita yeye (habari za ndani) yeye ni DG wa TISS?Mwigulu anasimamia majeshi yafuatayo
1.polisi
2.magereza
3.zimamoto
Kwenye utekaji,waliotekwa wote hawakupatikana maeneo anayoyaongoza kwa maana ya vituo vya polisi,wasanii walitembelea vituo vyote hawakuwakuta
Aliyemtishia nape si askari aliye chini ya wizara ya mwigulu.
Waliowakamata akina bashe na msukuma,kama Maelezo ni kwamba ni maafisa usalama,hawako chini ya mwigulu kwa maana ya wizara ya mambo ya ndani.
Idara ya usalama iko chini ya Ofisi ya Waziri anayehusika na utawala bora,kama ni kweli ndiyo inatuhumiwa kufanya hayo.
Upande wa mwigulu kwa maana ya Waziri wa mambo ya ndani,IGP na ma RPC tuwatafutie kosa jingine
Lizaboni anadai eti mwigulu ndiye anampa maneno bashe,atayatolea wapi wakati haongozi idara hiyo
Lizabon keshachanganyikiwa kila siku ni kupiga fitna na kuongea mambo ya ajabu utafikir anaumwa tumbo la kuharaMwigulu anasimamia majeshi yafuatayo
1.polisi
2.magereza
3.zimamoto
Kwenye utekaji,waliotekwa wote hawakupatikana maeneo anayoyaongoza kwa maana ya vituo vya polisi,wasanii walitembelea vituo vyote hawakuwakuta
Aliyemtishia nape si askari aliye chini ya wizara ya mwigulu.
Waliowakamata akina bashe na msukuma,kama Maelezo ni kwamba ni maafisa usalama,hawako chini ya mwigulu kwa maana ya wizara ya mambo ya ndani.
Idara ya usalama iko chini ya Ofisi ya Waziri anayehusika na utawala bora,kama ni kweli ndiyo inatuhumiwa kufanya hayo.
Upande wa mwigulu kwa maana ya Waziri wa mambo ya ndani,IGP na ma RPC tuwatafutie kosa jingine
Lizaboni anadai eti mwigulu ndiye anampa maneno bashe,atayatolea wapi wakati haongozi idara hiyo
Hapana. Usalama wa rais una idara yakeUsalama wa Rais ndio msingi wa hoja ya Lizaboni. Usalama wa Raia ni jukumu la Mwigulu na vyombo vilivyo chini yake
Anatakiwa aitolee kauli kwa sababu police ndio wana jukumu la kulinda raia.. Halafu kumbuka police walikuwepo pale oysterbay nape alipotishiwa bastola lakini yule MTU hajashikwa mpaka leoMwigulu anasimamia majeshi yafuatayo
1.polisi
2.magereza
3.zimamoto
Kwenye utekaji,waliotekwa wote hawakupatikana maeneo anayoyaongoza kwa maana ya vituo vya polisi,wasanii walitembelea vituo vyote hawakuwakuta
Aliyemtishia nape si askari aliye chini ya wizara ya mwigulu.
Waliowakamata akina bashe na msukuma,kama Maelezo ni kwamba ni maafisa usalama,hawako chini ya mwigulu kwa maana ya wizara ya mambo ya ndani.
Idara ya usalama iko chini ya Ofisi ya Waziri anayehusika na utawala bora,kama ni kweli ndiyo inatuhumiwa kufanya hayo.
Upande wa mwigulu kwa maana ya Waziri wa mambo ya ndani,IGP na ma RPC tuwatafutie kosa jingine
Lizaboni anadai eti mwigulu ndiye anampa maneno bashe,atayatolea wapi wakati haongozi idara hiyo
Umesahau Uhamiaji.Mwigulu anasimamia majeshi yafuatayo
1.Polisi
2.Magereza
3.Zimamoto
Kwenye utekaji, waliotekwa wote hawakupatikana maeneo anayoyaongoza kwa maana ya vituo vya polisi,wasanii walitembelea vituo vyote hawakuwakuta
Aliyemtishia Nape si askari aliye chini ya wizara ya mwigulu.
Waliowakamata akina bashe na msukuma, kama Maelezo ni kwamba ni maafisa usalama, hawako chini ya mwigulu kwa maana ya wizara ya mambo ya ndani.
Idara ya usalama iko chini ya Ofisi ya Waziri anayehusika na utawala bora,kama ni kweli ndiyo inatuhumiwa kufanya hayo.
Upande wa mwigulu kwa maana ya Waziri wa mambo ya ndani,IGP na ma RPC tuwatafutie kosa jingine
Lizaboni anadai eti mwigulu ndiye anampa maneno bashe,atayatolea wapi wakati haongozi idara hiyo
Kwanini walienda kuripoti polisi?
Na nani ya polisi yanamuhusu?
Huwezi kusema ni usalama wa taifa kwasababu hata ambo hawakuonekana kwa siku 4 na kurudi hawajasema ni wao.
Muache kutunga udaku.
Huyu Lizaboni Ni mzandiki sana,,,,Mwigulu anasimamia majeshi yafuatayo
1.Polisi
2.Magereza
3.Zimamoto
4.uhamiaji