Idadi ya magari Tanzania

Software Engineer

JF-Expert Member
Dec 20, 2014
344
137
Kuna project nafanya, ningependa kujua makadirio ya idadi ya magari Tanzania
1. Binafsi %?
2. Serikali %?

Nimejaribu kufanya hesabu za jumla kwa kutumia number plate za sasa kwa ku-assume kwamba number zimefika kwenye sequence hii hapa T999DDZ = Jumla ya magari 416,000


Kwa mwenye data naomba jibu
 
Jumla ya magari 416,000

Kwa takwimu hizo umeingia chaka!
Tafuta mtu mwenye gari lenye namba latest angalia kadi yake inaonesha idadi ya gari... Wakati mimi nanunua gari mara ya mwisho, gari yangu ilikuwa around ya milioni mbili na nusu...
Kuhusu magari ya serkali ni rahisi sana... Sasa hivi gari za serikali zimebaki STK na STL... Zile STG na STH zimeshakuwa phased out! so ni rahisi tu kujua gari za serikali ziko ngapi...
 
Tra wanahusika maana kuna na pikipiki zimesajiliwa kwa namba za magari!! Bila kusahau mitambo
 
Tumia formula za Permutation and combination. Kutafuta idadi ya magari na pikipik zote zilizosajiliwa. Semaaa ni ngumu kupata idad kamili, kila kukichaa kuna mengi Yanasajiliwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…