Viongozi gani wa dini walioshiriki ibada hiyo?Ibada hiyo imeongozwa na mkuu wa wilaya ya Karatu ikihusisha viongozi wa dini zote na wananchi.
Dua na maombi yamefanyika eneo la ajali ambapo binafsi nimehudhuria. Ibada hiyo imetanguliwa na tambiko la kimila lililofanywa na wazee wa kimila juzi siku ya Jumanne.
Tuendelee kuwaombea wanafunzi wetu, walimu na dereva waliopoteza maisha katika ajali hiyo.
NASHANGADini na tambiko tens
Ungekuwa umetuletea hapa na ujumbe ulionenwa na viongozi hao wa dini ingekuwa poa zaidi, hata hivyo asante kwa hicho kidogo!Dini za kikristu na kiislam...ndio dini zote za karatu
Kwani hayo ya dini sio matambiko Mkuu?Dini na tambiko tens
Wanajifanya wamesahau.Tambiko lilikuepo hata kabla ya dini africa.
Tangu lini serikali imetambua mambo ya matambiko na imani, ilhali katiba inasema serikali haina dini na haitambui ushirikina!Dini za kikristu na kiislam...ndio dini zote za karatu
Hata mizimu haitawasikia sababu wamechanganyaKuchanganya madawa ndo huko matambiko ibada maombi hivi ni mungu gani huyo mjinga namna hiyo asikie maombi hayo?Mungu ninaemjua si wa michanganyo hivyo