Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,005
on this you already have a feeling that you are being cheated on even if you are not just because you once did it. Accept that it is possible to be in a relationship without any of you cheating on the other. Sometimes false accusations lead to break ups.nilishacheat sana so najua yupi mkweli na yupi muongo
There is saying "what goes around comes around", whatever wrong you do to somebody it always catches back to you in unexpected ways.niliweza kuwaumiza ambao nilidate nao and i didn't care kwa kipindi hicho
You sound serious maa... keep it low and relationships sio za kutafuta, acha zenyewe zikutafuteAm not a good writer mtanisamehe kwa uandishi wangu and am sorry for my inconvenience kutokana na threads zangu tofauti tofauti ambazo wengine uwa hawapendi.
Nimetokea kuumizwa sana na so called relationships na hii naona kama ni punishment kwa kuwa kipindi cha nyuma niliweza kuwaumiza ambao nilidate nao and i didn't care kwa kipindi hicho.....Naomba Mungu anisamehe kwa hili,sikuwa nawaamini wanaume kabisa na mpaka leo hii ila kuna ambao walionesha upendo wa dhati but i didn't pay them much attention......i do regret
Nimesema yote haya kutokana na shida nazopata sasa hivi yani nachukia kutafuta wanaumena hata kama ikatokea nikapata boyfriend uwa haizidi kukaa nae for more than two weeks na wengi ambao nakutana nao uwa naona wana mambo mengi......nilishacheat sana so najua yupi mkweli na yupi muongo
Wanaume mnapoona msichana anajitolea kukucare muwe mnajiongeza basi na sio kuanza kujiona kama mnapendwa sana na kwamba huyo msichana atakuvumilia kwa chochote.....maybe wapo ila mimi uwa siwezi#i think is one of my weakness
Kinachoniumiza why can't i stay in a relationship longer than two weeks?....
Kwa sasa nadhani nahitaji msaada wa kimawazo
Girl, you are a bad news. Nimecheka sana.two weeks? i cant stay even for two hours
Endelea kuliwa kitu kinasoma mileages ukija stuka utarudi kutoa ushuhuda hapa.Am not a good writer mtanisamehe kwa uandishi wangu and am sorry for my inconvenience kutokana na threads zangu tofauti tofauti ambazo wengine uwa hawapendi.
Nimetokea kuumizwa sana na so called relationships na hii naona kama ni punishment kwa kuwa kipindi cha nyuma niliweza kuwaumiza ambao nilidate nao and i didn't care kwa kipindi hicho.....Naomba Mungu anisamehe kwa hili,sikuwa nawaamini wanaume kabisa na mpaka leo hii ila kuna ambao walionesha upendo wa dhati but i didn't pay them much attention......i do regret
Nimesema yote haya kutokana na shida nazopata sasa hivi yani nachukia kutafuta wanaumena hata kama ikatokea nikapata boyfriend uwa haizidi kukaa nae for more than two weeks na wengi ambao nakutana nao uwa naona wana mambo mengi......nilishacheat sana so najua yupi mkweli na yupi muongo
Wanaume mnapoona msichana anajitolea kukucare muwe mnajiongeza basi na sio kuanza kujiona kama mnapendwa sana na kwamba huyo msichana atakuvumilia kwa chochote.....maybe wapo ila mimi uwa siwezi#i think is one of my weakness
Kinachoniumiza why can't i stay in a relationship longer than two weeks?....
Kwa sasa nadhani nahitaji msaada wa kimawazo
Umenizidi kwa kweli loltwo weeks? i cant stay even for two hours
Mimi nilitafuta moja tu na tena ya humu jamii forumYou sound serious maa... keep it low and relationships sio za kutafuta, acha zenyewe zikutafute
Cool.. try to give yorself a break!!! Chil fanya other things wich mean life to you...Mimi nilitafuta moja tu na tena ya humu jamii forum
Some of them tuna.... na wengine tunaishia maongeziHizo wiki unaamsha dude au maongezi tu?!
Okay......i'll tryCool.. try to give yorself a break!!! Chil fanya other things wich mean life to you...
Wot do u do for a living?!...jaribu kutoka jichanganye na watu naona kama unaishi kipekeyakoSome of them tuna.... na wengine tunaishia maongezi
Nafikiri nahitaji sana treatment maana sio kawaidaSound serious, you need to see a psychologist. Mtu mzima wa kawaida hawezi kuwa na hali kama yako, kuna kitu labda umekiona kwa watu wako wa karibu kimekufanya uwe reserved. a what you are doing is to protect your feelings, unaogopa kuumizwa something like that. Una hitaji professional advise and treatment.