I love u Mange Kimambi

Basi mm sionagi post zake sikuizi lakini siku za nyuma nilikuwa nkiziona kwasababu nilisha mfollow
Hata Mimi nampenda Sasa sijui kimetokea kitu gani.Yaani Instagram Kuna Watu hatumuoni.Wengi wa nalalamika ila alikuja siku moja kwenye page yake ingine kwamba aliwapunguza wapya.Sijui kwa nini.Ila nitampata tu kwa njia ingine. Ukweli Mange anaongeza urefu wa kuishi Hapa Duniani.
 
account yake ni ile yenye followers 1.1 milion herufi za jina lake zimebanana hivi Mangekimambi_
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…