I bet Miss Tz 2017 atapewa bodaboda..

Kwa kumhurumia aje aniuzie nimpe mil 1.5 mtoto wangu apate ka usafiri ka kuendea shule
 
Ni vema hili Shindano sasa likafanywa/kusimamiwa na mtu mwingine mwenye akili zaidi ya HASHIM LUNDENGA...

Lundenga hawezi tena.
Acha kumuonea wivu babu Lunde, kwani anachofanya si kama Wanasiasa tu wanavyong'ng'ania viti?
 
Ila nimempenda sana huyo miss hajaonyesha disappointment mbele ya camera.
Si wana bahati wamemkuta binti wa watu wa ni God fearing...wangekutana na type za kina Lulu Maiko...siku inayofuata Lunde angeitwa akachukue Gari lake bonde la Msimbazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…