Hzi barabara mbovu kigamboni na chamazi serikali imeishiwa hela?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,431
12,292
Si vibaya kuuliza

Wakazi wa kigamboni kibada na mjimwema hadi cheka nadhani mnajionea sehemu ya barabara imevunjwa vunjwa alafu imechwa hivyo hivyo full vumbi mpaka sasa sijapata jibu kama mkandarasi hana hela au vp

Barabara ya mbagala kuanzia mbagala kuelekea chanika imechimbwa mashimo ya viraka ukipanda gari ni risk tupu na imeachwa je hela hamna?
 
Hivi ile barabara ya kibada to mwasonga mchakato wa lami umeshia wap
 
Back
Top Bottom