Kajolijo JF-Expert Member May 30, 2016 3,364 4,612 Jan 19, 2017 #1 Jaman huyu rais sasa kazidi, ni rais mgabe wa zimbabwe hasa baada ya kutoa ushauri mzito kwa simba kama mwendelezo wa misemo na matamko yake
Jaman huyu rais sasa kazidi, ni rais mgabe wa zimbabwe hasa baada ya kutoa ushauri mzito kwa simba kama mwendelezo wa misemo na matamko yake
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 47,551 68,999 Jan 19, 2017 #4 Yanga wakitaka kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa waache haka kamchezo
Who Cares? JF-Expert Member Jul 11, 2008 3,507 3,371 Jan 19, 2017 #5 DOUGLAS SALLU said: View attachment 461477 Yanga wakitaka kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa waache haka kamchezo Click to expand... Ahahahahhaha.....mazoezi ya kuliwa viboga ahahahahha
DOUGLAS SALLU said: View attachment 461477 Yanga wakitaka kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa waache haka kamchezo Click to expand... Ahahahahhaha.....mazoezi ya kuliwa viboga ahahahahha
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 47,551 68,999 Jan 19, 2017 #6 Who Cares? said: Ahahahahhaha.....mazoezi ya kuliwa viboga ahahahahha Click to expand... Ndiyo maana wakienda kwa waarabu wanarudi vichwa chini
Who Cares? said: Ahahahahhaha.....mazoezi ya kuliwa viboga ahahahahha Click to expand... Ndiyo maana wakienda kwa waarabu wanarudi vichwa chini
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,780 10,196 Jan 19, 2017 #7 Pamoja na mapungufu yake ila huwa ninamuelewa sana Mgabe
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,441 5,816 Jan 19, 2017 #8 DOUGLAS SALLU said: View attachment 461477 Yanga wakitaka kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa waache haka kamchezo Click to expand... Huyu babu kumbe ndiyo maana alifurushwa!
DOUGLAS SALLU said: View attachment 461477 Yanga wakitaka kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa waache haka kamchezo Click to expand... Huyu babu kumbe ndiyo maana alifurushwa!
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 47,551 68,999 Jan 20, 2017 #9 grafani11 said: Huyu babu kumbe ndiyo maana alifurushwa! Click to expand... Kawaharibu sana vijana wetu na mchezo wake mchafu
grafani11 said: Huyu babu kumbe ndiyo maana alifurushwa! Click to expand... Kawaharibu sana vijana wetu na mchezo wake mchafu
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,441 5,816 Jan 20, 2017 #10 DOUGLAS SALLU said: Kawaharibu sana vijana wetu na mchezo wake mchafu Click to expand... Ametuharibia vijana wetu wa kimataifa sasa hivi hata Mapinduzi Cup hawawezi tena...
DOUGLAS SALLU said: Kawaharibu sana vijana wetu na mchezo wake mchafu Click to expand... Ametuharibia vijana wetu wa kimataifa sasa hivi hata Mapinduzi Cup hawawezi tena...
makahuto Member Aug 27, 2016 80 26 Jan 22, 2017 #11 Mh mpira umewashinda mnaanza taarabu. Mikia usawa huu mtanyooka tu...!!