Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,410
- 3,548
Wapenzi wa kabumbu naombeni jibu, aliyepo pembeni ya nabii na mtume wa mwisho kwnye soka(Ronaldinho Gaucho) ni nani?
Huyo ni Ze RobertoWapenzi wa kabumbu naombeni jibu, aliyepo pembeni ya nabii na mtume wa mwisho kwnye soka(Ronaldinho Gaucho) ni nani?View attachment 2570840
Huyo ni Ze Roberto
HahahaPape osuman sakho
Iyo jezi ni zaidi ya makolo
Hahaah kumbe mambo yapo mpk ma ulaya ma america huko...Iyo jezi ni zaidi ya makolo
Ramirez huyo....Wapenzi wa kabumbu naombeni jibu, aliyepo pembeni ya nabii na mtume wa mwisho kwnye soka(Ronaldinho Gaucho) ni nani?View attachment 2570840
RamiresWapenzi wa kabumbu naombeni jibu, aliyepo pembeni ya nabii na mtume wa mwisho kwnye soka(Ronaldinho Gaucho) ni nani?View attachment 2570840
Mbona amekua mweupe??Ramires
Katika sura ambazo Barcelona hawatakaa wazisahau ni huyo jamaa hapo. Hawana hamu naye kabisa hasa kwa kile alichofanya 2012 kwenye uwanja wao wa nyumbani.Wapenzi wa kabumbu naombeni jibu, aliyepo pembeni ya nabii na mtume wa mwisho kwnye soka(Ronaldinho Gaucho) ni nani?View attachment 2570840