Huyu ndiyo waziri Mbarawa, muda wote yuko site!

Mimi credit nawapa Mbarawa, mpina, simbachawene, mwiguli, kigwangwala na lukuvi
 
Yule bwana mkubwa alikuwa anafuatiliwa na wale jamaa wenyewe wa jengo jeupe, walishamuita kwenye mjengo mweupe kwa mahojiano, na inasemekana alifanya mambo fulani kwa hiyo alikuwa anajua tu kuwa future imekaa vibaya. Akapatwa na mshtuko akiogelea.
 
Ni mmoja kati ya Mawaziri ninaowakubali sana kwa kweli hasa staili yake ya ufwatiliaji, yeye muda wote yuko site yaani!












HAPA KAZI TU!
Kweli nimeamini kuwa njaa ni kitu kibaya,yaani badala ya ufanye kazi za kukuingizia kipato halali unakesha kumsifia dume mwenzako?
 
Huyu hadi sasa mimi nampa 8/10 kati ya Mawaziri wote wa Magufuli. Maana anajua anachokifanya. Wengine wanafanya kwa mihemko, kukurupuka na sifa. Hao nawapa 3/10.
Lakini kumbuka alikuwepo kwenye serikali iliyopita
 
Yes hakika MH. MBARAWA anajua anachokifanya kiukweli ni mchapa kazi na yuko makini sana binafsi namkubali kwa uchapakazi wake.................
Aaaaaah kumbe wakati wa kikwete alikuwa bado hajaenda kusomea hizo kazi?au umesahau kuwa alikuwepo kwenye baraza la mawaziri la kikwete?
 
I like this chap....tena sio mwanasiasa kabisaa...Of course na Waziri Mkuu. JPM kachagua inavyostahili
 
Hivi February mbona sioni utendaji kazi wake, kamuachia Lihanga Mpina ndie anaetoa maelekezo.? Tangu aingie madarakani sijaona azungumze hasa katika wizara yake!
 
Hoja sio kuzunguka na kuwa nje ya ofisi muda mwingi, hoja ni kupata matokeo yanayotakiwa kutokana na kazi anayoifanya.

Mimi nadhani hiyo Wizara inataka Waziri wa haiba ya Rais Magufuli, otherwise, tutamuona anazunguka na kukaa nje ya ofisi kwa muda mrefu wakati watu wa chini yake hawafanyi kazi huku wengine wakiiba.

Kwangu mimi, Waziri Mbalawa is soft and too nice!
 
Huyu mswahili kasoma madrassa anaweza kweli kazi inaonekana hata huo uprofesa wake siyo wa kweli.
 
Yeah ktk mawaziri wa magufuli prof mbalawa ni waziri mchapa kazi sana hatafuti sifa kama hao wengine ad taka wanazoa kutafuta kick
 
Kama yupo site na halipwi per diem hakuna tabu, tatizo isijekuwa anapiga mchuzi kwa style ya kuzungukia hizo miradi wasiwasi wangu upo hapo tu otherwise ni hatua nzuri ya uongozi
 
Salute Prof Mbarawa.kweli nami nimeliona hilo hana longolongo anapiga kazi.keep it up .Tunaomba JPM atambue uwepo na uchapakazi wa Mbarawa..kwenye ukweli lazima watu waseme amaaaaaaa....
 
Maana isijekuwa wanasimgizia kwenda kukagua miradi sababu akikaa ofisini hapati hela ya vikao
 
kwa nature ya wizara, lazma ashinde site. akikaa ofcn kila mtu atamshangaa. huon maguful alivyokuwa.??? na kingne wizara ni very broad, nadhan hakuna wizara kubwa kama hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…