Zamani nilipokuwa mtoto nilikuwa naogopa chura tena sana nadhani kwavile pale kwenye kifua akihema pana onekana muda wowote wanaweza pasukaAndika vizuri na kwa utulivu mkuu au unakimbizwa?
Unataka kumaanisha nini? mkuuZamani nilipokuwa mtoto nilikuwa naogopa chura tena sana nadhani kwavile pale kwenye kifua akihema pana onekana muda wowote wanaweza pasuka
Kila siku nasemaga hii I'd sijui Imekuwaje? Angalia posts zake za mwaka 2008 na utumbo anaoandika sasa hiviAndika vizuri na kwa utulivu mkuu au unakimbizwa?
Jamaa yuko resi sanaKila siku nasemaga hii I'd sijui Imekuwaje? Angalia posts zake za mwaka 2008 na utumbo anaoandika sasa hivi
Nadhani kuna tatizo sehemuJamaa yuko resi sana
labda uzeeNadhani kuna tatizo sehemu
Nina maanisha mudau ameshindwa kumtaja Man of the match labda kuna kitu kilimuugopesha akaahirisha kufikiri kwa muda hadi akasahau kumtajaUnataka kumaanisha nini? mkuu
Plus madeni.labda uzee
HahahaNina maanisha mudau ameshindwa kumtaja Man of the match labda kuna kitu kilimuugopesha akaahirisha kufikiri kwa muda hadi akasahau kumtaja
Kausha damuPlus madeni.
hahahaPlus madeni.
Kama ulisikia mwingine huyo wa mchongo kwangu mie huyu mwamba ndio man of the match
Ikowezekana apewe tktk na ukaribisho wa kupanda mlima kilimanjaro bure akimaliza apelekwe ngorongoro crater
Acha uboya..alikuwa anacheza namba ngapi?The..
Tayari huko limeshatikisika!Kama ulisikia mwingine huyo wa mchongo kwangu mie huyu mwamba ndio man of the match
Ikowezekana apewe tktk na ukaribisho wa kupanda mlima kilimanjaro bure akimaliza apelekwe ngorongoro crater
Dah mzee mwenzangu hii chura phobia ipo sana maumbile yake alivyo tu dahZamani nilipokuwa mtoto nilikuwa naogopa chura tena sana nadhani kwavile pale kwenye kifua akihema pana onekana muda wowote wanaweza pasuka