Huyu ndie CR7

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
9,428
27,071
*C.Ronaldo in 2016*

UEFA UCL
UEFA Golden boot
UEFA Euro Cup
EURO Cup Silver boot
WORLD SOCCER best player
GOAL world best player
MARCA Best player
UEFA Super Cup
UEFA Best Player
Ballon D'Or
FIFA World Club Cup
FIFA World Club Cup Golden ball.
FIFA World Club Cup Best Player
EURO SPORTS Award
ESPN Top Athlete player Award
Best European Athlete Award
GlobeSoccer Best Player Of The Year Award
European Best Sportsperson Award
FIFA MEN PLAYER OF THE YEAR

•PLayer oF ThE YeaR 2016• Cristiano Aveiro Don santos Ronaldo.
CR7



Wale wenzangu wa yule mu-argentina karibuni.
 
Hizo ndo tuzo zake za mwisho sema historia itamhukumu amezitapeli mbili kutoka kwa Antoine Griezman hata platin analijua hilo
Hakustahili awe mchezaji bora wa ulaya kwa kupitia mgongo wa Ader mbaya zaidi hakuwa na significance yeyote ile kwenye team yake na hakucheza fainali za Uero
 
Kutokucheza fainal cha EURO Sio kigezo..... kigezo mchango wake kwa timu..... unampaje mtu ambaye hana Tuzo hata moja..... wala medali....
 
Basi ni hivyo angepewa Ader au kwa sababu ni mweusi?
Bro..... unaelewa swala la Mchango??? Lakini pia kumbuka anayechagua nani achukue nini ni jopo la watu wengi.... hivyo sidhani ukisema ameiba Tuzo ya fulani uko sahihi....

Jamaa kapiga kazi kaonyesha Timu yake ndio kila kitu.. unaona kabisa jamaa ana filling na timu yake ile passion.....
 
Hapo hapo kwenye mchango ndio hoja yangu ilipo
 
kiwango chake ni cha kawaida sana,amebebwa na vikombe vya timu ukiangalia mwaka 2016 messi ameongoza kwa goals,assists,dribbles ,kwenye europe top 5 leagues
cr7 asipofunga tapins zake huwa hana mchango kwenye timu na magoli yake mengi huwa hayaisaidii timu maana huwa tayari wanaongoza
 
Ndio ivyo.. wakati mtazamaji mm na ww tunabishana ila ikumbukwe now Soccer sio kipaji ni Busness nani anauza????

Information Age hii kwa sasa
 
Messi Stats: 64 Appearances, 59 goals, & 34 assists

Griezman Stats: 69 Appearances, 41 goals, & 14 assists

Cr 7 Stats: 60 Appearances, 61 goals, & 22 assists. Yet cr 7 + makombe aliyo shinda.

its absurd kusema alibebwa
 
Mkuu baelezee fact hii hapa
 
Kutokucheza fainal cha EURO Sio kigezo..... kigezo mchango wake kwa timu..... unampaje mtu ambaye hana Tuzo hata moja..... wala medali....
Mkuu wakati mwingine tuwe wa wazi kwa kile kitu ambacho kinaonekana in reality, haya mapenz ya wachezaji kwenye ukweli tuseme ukweli, hivi huwezi kutumia reference ama kufanya comparison kwa mwaka 2016, mfano ukiambiwa
1.CR7 amechuku tuzo ya Mchezaji bora wa ulaya 2016- Mess amechukua nini....2016?
2.CR7 amechukuwa tuzo ya mfungaji bora wa ulaya 2016-Mess amechukuwa nin?..2016
3.CR7 ame.................................................................

Sio ubishi usio na faida wala comparison na mapenz ya siyo na tija

Kikueajembe
 
Nakuunga mkono
 
KING MESSI IZ PURE TALENT

Messi is born with talent, wakati Ronaldo anauza sura, he can't dribble past players like that of Messi. He can't run with the ball and touch it with every step of the run. He can't turn and accelerate at full speed from the word GO like Messi.


Cristiano Ronaldo made himself into one the world's greatest, while King was born to be the best.

Leo Messi is all talent, while Cristiano Ronaldo is the product of much training,

Natural talent is one thing, but Messi's ball control at top speed didn't come from the heavens. It was developed first on his home street in Rosario'ARGENTAIN..and then at Barcelona's famed La Masia training complex.

Messi does not need his right foot, He only uses the left and he's still the best in the world ever!

Imagine if he also used his right foot ...would have serious problems!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…