Huyu Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Ubungo, ana tatizo somewhere!

DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
3,426
9,281
Nimemshuhudia mara kadhaa, akitunushiniasha misuli na mawakili na hata kuwatamkia maneno yasiyo ya kistaarbu mbele ya wateja wao.

Najiuluza, kama Kuna tatizo mahala, hakuna namna nyingine ya kueleweshana badala ya kufokeana na kuoneshana umwamba mbele ya lay persons?

Kama sio frustrations huenda ni extreme sense of arrogance.
 
Back
Top Bottom