Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,421
- 2,328
Sikia hii!
UTANGULIZI
Huyu bibie ni classmate o level miaka hiyoo, nilianza kufahamiana naye kipind nipo 4m III darasa la science A.
Tulifahamiana ghafla tu mara tukawa marafiki wakubwa, huyu demu katongozwa na watu wengi sana pale shule nikiwemo na mimi rafiki yake mkubwa lakin wapi hatukuambulia kitu.
Japo niseme urafiki wangu mimi na huyu bibie ulikuwa urafiki unaofanana na mahusiano ya kimapenzi. Mpaka tunamaliza kidato cha 4, kila mtu anaenda advance shule yake, tulikuwa tunawasiliana kama marafiki tu, mpaka chuo alienda kusoma mkoa tofauti na niliopo kwa hiyo yale mahusiano ya urafiki yanayofanana na mapenzi yalipungua kufikia hatua ya kuangaliana status tu.
Ulikuwa sijui ni mwaka wa 2 kama sikosei au wa 3 huyu bibie alipata boyfriend pale chuoni kwao na istoshe inaonekana demu ndiyo alimpenda sana mshikaji kwasababu ilikuwa haipiti bila kumpost.
Ah basi mimi kiande aliyepaushwa na maisha ikabidi nikaushe tu niendelee kulisukuma gurudumu la maisha. Kimsingi niligive up.
Twende kwenye stori yenyewe sasa....
Jumamosi ya week iliyopita nipo zangu na washkaj tumechill naona call ya huyu bibie. Nilishtuka kimtindo kwasababu ilikuwa ni kitambo sana. Nikapokea simu baada ya salamu akaniuliza "Upo wapi? Nikamjibu "Nipo mtaani" akaniambya naomba nikuombe kitu "Nikamwamby "fresh nipange".
Akaniambia naomba nitoe out popote kila kitu juu yangu, nikamuuliza upo serious? Akasema niambie tuondoke, nikasema poa ngoja nijiandae nikucheki. Ikafika mishale ya saa 11 jion nikampigia akaniuliuliza tayari? Nikamwambia yeah fanya uje sehemu x, akasema poa nipe dakika 10, kweli bana baada ya muda huyu hapa.
Sasa kilichonishangaza ile ameshuka kwenye gari amekuja tumeonana akaja akanikumbatia, ah nilidharau nikaona si mshikaji tu huyu labda amekumbushia kipindi kile. Nikaamua kupotezea, tumetoka pale uuuuuu mpaka sehem x, tukapata juice pale, na aliagiza na nyama choma. Tukaanza stori...
Itaendelea.......