Huyu mwanamke ni mzuri kama malaika, halafu mlokole

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,015
114,360
images.jpeg.jpg

Wakati wa kufunga shule nilienda kumchukua kijana wangu shule moja ipo Kahama. Katika kusubiri maelekezo nikaona dada mmoja akiwa amekaa peke yake huku akichezea simu. Moyo ulilipuka sana baada ya macho yetu kugongana.

Nikawa kama nimepigwa shoti ya umeme. Niliona ni kama nimekutana na malaika aliyeshuka toka mbinguni. Nikatamani kumsogelea yule mrembo lakini nikawa na shaka kama niko presentable kwake?

Nikajivuta na kusogea karibu yake. Nikakoki sauti yenye mvuto na kumsalimia kikakamavu. Tukapiga stori mbili tatu za kuisifia shule yetu na hatimaye akanitaka nivute kiti tukae pale kubadilishana mawazo. Akajitambulisha anaitwa M (ufupisho) na anaishi kanda ya ziwa.

M ni mwanamke mzuri wakuu, fikiria naamka muda huu kuandika kuhusu uzuri wake. Licha ya kuvaa mavazi yenye stara, hiyo haikuwa sababu ya kuficha uzuri wa asili mwanadada huyu. Kwa umri wangu mpaka sasa huyu ni mwanamke mzuri zaidi ukilinganisha na wanawake wote duniani. Licha ya usemi unaosema uzuri upo machoni kwa mtu, lakini ukweli utabaki palepale M ni mzuri kiasi cha kusisimua.

Wengi tumekuwa na fikra kuwa pengine Angelina Jolie na Aishwarya Rai, ndiyo wanawake wazuri duniani lakini hapa hawaingii hata nusu. Hiyo
imesababishwa na umaarufu tu walionao walimbwende hao.

Ni mwanamke mrefu kiasi, maji ya kunde wa kung'aa kama kamwagiwa chocolate, ana mguu, ana kifua, ana macho ya kurembua, nyuma kafungasha,kiuno kimekatika. Mbaya zaidi anajiremba, nilimnusa kajipulizia utuli wa kuvutia sana. Nilijiridhisha huyu mwanamke hana kasoro kwa asilimia 90. 10 naziacha kwa viungo vya ndani.

Mara nyingi nilimtazama kwa macho ya kushangaa hata yeye akagundua. Nikataka kumjua zaidi, ananiambia yeye ana mtoto mmoja aliyemfuata pale, ni mwajiriwa lakini pia ameokoka anampenda Yesu. Baadae stori zake zikawa ni shuhuda mbalimbali za mambo ambayo Yesu amemtendea. Hakika nilivutiwa sana na M kiasi cha kuona nimewahi sana kuoa.

M amekuwa rafiki yangu,hakuna siku anaacha kunijulia hali. Nikimpotezea hulazimika kunipigia simu akilalamika kuwa kimya.

Kwa hiyo najiona kama mtu mwenye cheo. Cheo cha rafiki wa mwanamke mzuri kuliko wote duniani. Mzuri wa sura na yupo karibu na Mungu.
 
Wakati wa kufunga shule nilienda kumchukua kijana wangu shule moja ipo Kahama. Katika kisubiri maelekezo nikaona dada mmoja akiwa amekaa peke yake huku akichezea simu. Moyo ulilipuka sana baada ya macho yetu kugongana.

Nikawa kama nimepigwa shoti ya umeme. Niliona ni kama nimekutana na malaika aliyeshuka toka mbinguni. Nikatamani kumsogelea yule mrembo lakini nikawa na shaka kama niko presentable kwake?

Nikajifuta na kusogea karibu yake. Nikakoki sauti yenye mvuto na kumsalimia kikakamavu. Tukapiga stori mbili tatu za kuisifia shule yetu na hatimaye akanitaka nivute kiti tukae pale kubadilishana mawazo. Akajitambulisha anaitwa M (ufupisho) na anaishi kanda ya ziwa.

EARLY MORNING TEA
 
Nani alikwambia Malaika ni mwanamke mzuri !
 
Mkuu M ameolewa?
Nianzie hapo kwanza....
 
Usijilaumu Kwa kuoa mapema, wanawake au wanaume wazuri zaidi wapo na wataendelea kuwepo, hauwezi kufanya Kila kitu na Kila mwanamke mzuri unaekutana nae. Ni kweli anaweza kuwa mzuri lakini asifae kuwa Mke wako, akafaa na kuendana na mtu mwingine kabisa. Ndoa ni zaidi ya uzuri na mwonekano wa nje.

Tuelewe tu kwamba unapoamua kuoana na mtu muishi pamoja, sio kwamba wewe ni mzuri au yeye ni mzuri kuliko wanawake wote, la hasha, ni Ile tu Kwamba vigezo vyenu, mmeona mnaweza kuishi pamoja mkayajenga.
 
Usijilaumu Kwa kuoa mapema, wanawake au wanaume wazuri zaidi wapo na wataendelea kuwepo, hauwezi kufanya Kila kitu na Kila mwanamke mzuri unaekutana nae. Ni kweli anaweza kuwa mzuri lakini asifae kuwa Mke wako, akafaa na kuendana na mtu mwingine kabisa. Ndoa ni zaidi ya uzuri wa mwonekano wa nje.

Tuelewe tu kwamba unapoamua kuoana na mtu muishi pamoja, sio kwamba wewe ni mzuri au yeye ni mzuri kuliko wanawake wote, la hasha, ni Ile tu Kwa vigezo vyenu, mmeona mnaweza kuishi pamoja mkayajenga.
Mleta mada,soma hii

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Usijilaumu Kwa kuoa mapema, wanawake au wanaume wazuri zaidi wapo na wataendelea kuwepo, hauwezi kufanya Kila kitu na Kila mwanamke mzuri unaekutana nae. Ni kweli anaweza kuwa mzuri lakini asifae kuwa Mke wako, akafaa na kuendana na mtu mwingine kabisa. Ndoa ni zaidi ya uzuri wa mwonekano wa nje.

Tuelewe tu kwamba unapoamua kuoana na mtu muishi pamoja, sio kwamba wewe ni mzuri au yeye ni mzuri kuliko wanawake wote, la hasha, ni Ile tu Kwa vigezo vyenu, mmeona mnaweza kuishi pamoja mkayajenga.
Uko sahihi kabisa mkuu,sijalaumu ila niliwaza tu
 
Back
Top Bottom