DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,560
- 3,734
Habari zenu!!!! Na habari ya siku nyingi!!!
Nianze kwa kuwapa salamu kutoka kwa Mercy na Mage wote ni wazima.
Twende......
Jana tarehe 08/07/2024 nilienda kumtembelea mshikaji wangu, idol wangu katika harakati, nilienda dukani kwake. Anaduka kubwa tu la electronics na vitu vingine.
Huyu jamaa kanifundisha kazi, ni m katu ya watu naowakubali sana, kani inspire mpka namm nikapambana nikafungua kijiofic changu cha electronics kwahiyo ni mtu muhimu sana kwangu. Kupitia huyu jamaa nimejifunza kwamba ukiwa na rafiki anayefanya vitu vikubwa vya kimaendeleo usikae naye hovyo kwani utampoteza katika maisha yako, unatakiwa nawew uwe na mawazo na matamanio kama yake ndo mtaenda sawa na utapata vingi vizuri kupitia yeye.
Twende kwenye mada!!!!!
Nilipofika oficin kwake, huwa nipo free hata mteja akija huwa nauwezo wa kumuattend kumuuzia na mshikaji ananiamini sana hata anaweza kaa pembeni kabisa ananiachia mimi show, mwenyew anadai nipambane na wateja nipate uzoefu zaidi.
Sasa akaja mwanamke mmoja alionekana kuwa na umri kati ya 22-25, huyu mwanamke ni mjamzito. Kipindi anaingia dukani mshikaji alikuwa ametoka kaenda kwenye duka lake jingine jirani na hilo duka lake alokuwa kaniacha (duka mama).
Huyu binti au mwanamke alivoingia nilivomtazama nikagundua hayupo sawa kichwani yani ana wenge kwa mbali, alikuwa kavaa shati kubwa kama watu wa chuga, skirt ya njano chini yeboyebo za kijani kabeba na mfuko wa mambo poa una vitu vitu huko ndani.
Mara nyingi watu wa hivo huwa tuna assume siyo wateja kwahiyo huwa hatuwapi attention kubwa na wakizingua huwa tunawatoa baru waondoko.
Lakini yule binti alinikuta pekeangu kwa wakati ule, nilivomtazama nikajua hapa hamna mteja ila nikaaamua nimsikilize anasemaje.
Alivofika akanisalimia then akaulizia bei za cm, nikamtajia bei zote za cm zilizokuemo kwenye kabati.
Nilivumilia kwakweli kwasababu alikuwa anaulizia bei kwa kurudia rudia yani ukimaliza kumtajia bei ya cm ya mwisho kutoka kulia anarudi mwanzo tena anauliza umesema hii shingap ukimtajia tena anarudi katikati na hii shingap kifupi alinichosha alikuja kununua cm ya tsh 27k ya laini tatu. Nilipumua kwakweli maana shughuli ilihitaji uvumilivu sivyo unaweza mfukuzia mbali atokomee.
Wanati namfungia ile cm na kumuandikia risit jamaa akafika, alivoniona nipo na yule mteja akasimama kama mita tatu away then akarudi nyuma akawa anatuangalia. Nikamfungia then akakaa pembeni kwenye kisofa cha oficn akaanza kuweka laini zake na kuikagua kagua cm yake.
Kwakuwa hakukuwa na wateja wengi muda ule bas namm nilitoka dukani nikakaa naye pale nje akawa ananiuliza maswali juu ya ile cm, of course maswali mengine yalikuwa yanaboa lakini kama mfanya biashara nilitakiwa kumjibu tu, mara anauliza mbona hii cm haina camera ya mbele, mara haina earphones, mara mbona ni nyepesi siyo nzito kwahyo nikavumilia tu maswali yakaisha tukaingia kwatika stors zingine.
Tuchukue brek kidogo..........